Pre GE2025 CHADEMA yakubali kufanya mdahalo na CCM kwa masharti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM wamesema mdaharo ufanyike siku ya tarehe 24-25πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Shida ni kwamba Chadema wamekataa mdaharo kwa kuweka masharti….
 
Swali la kujiuliza, alichokisema Makonda ni Maelekezo ama mapendekezo ya Chama Cha Mapinduzi?....ama na Propaganda na mbwembwe zake kama Namba moja propagandist wa CCM?

Nafikiri CHADEMA wamekurupuka. Makonda alipaswa kujibiwa katika majukwaa na makada ya Chama hicho na sio kulichukulia seriously jambo hili la kitoto!
 
Chadema kwa nini huwa hamsikii hamjifunzi.
Huyu wa kuwafanya muandike barua ndeeefu
Mkiwaaikiliza wananchi
Msiende

Maji mmeyavulia nguo kwa nini mnakuwa waoga kuyaoga

Kesho UWT wakiwaita kwa mdahalo mtaenda?
Huyu huyu mwenye kesi lukuki mnamtuhumu mnaenda kuketi naye meza moja!

Hii ni mistake kubwa mnafanya
Angewaita Mkuu wa nchi labda huyu huyu bashite mkae muongee nini mbona hamjifunzi ninyi watu

FOCUS
 
Makonda kiongozi mbunifu sanaaa
Ninaimani utawamudu hao vizuri
Wajichanganye wakusogelee
Uwezo wako mkubwa sambaza hoja zao mapema!!!!
 

..midahalo ni PLATFORM ambayo Chadema wanaihitaji kuwasilisha hoja zao kwa wananchi.

..kama utakuwa ume-observe Chadema huwa wanabinywa kutoa maoni yao ktk makongamano mbalimbali yanayoandaliwa na serikali.

..sasa kama Makonda anataka kuwapa jukwaa la one-on-one na Chadema ambapo watakuwa na nafasi ya kuongea nadhani ni jambo jema kwa Chadema.
 
Hakuna anayeweza kupoteza muda kukaa na Makonda kwenye mdahalo hasa eti kwa vichwa kama Mnyika, Lissu na Mbowe. Inafanyika ivyo ni kama mtego kwa sababu inajulikana wazi hakuna mdahalo utakao fanyika COZ CCM inaenda kuaibika aidha wakikataa au hata wakikubali hawezi kwenda Makonda.

Wote tupo hapa utaona nani kaaibisha taasisi yake.
 
Kwahy unapingana na chadema yako.?
 
Ukisoma kilicho andikwa ni wazi chadema hawako tayari kwa mdaharo maana wameweka masharti ambayo wanajua hayatawezekana
Na mimi nimeona hilo,
Sasa mdahalo kaomba mtu wa chama, wao wanatoa mashart ambayo inabidi yatekelezwe na serikali haha,

Walete huo mdahalo tuone
 
Ukisoma kilicho andikwa ni wazi chadema hawako tayari kwa mdaharo maana wameweka masharti ambayo wanajua hayatawezekana
Sio hayatawezekana, sema sio rahisi ccm kuyakubali maana hawana dhamira ya dhati. Au huo mdahalo utakuwa ni wa kuchambana?
 
Hakupaswa kujibiwa mjinga yule polojo zake awafanyie kina baba levo na mwijaku sisi tuna mambo siliazi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…