CHADEMA yakutana na ujumbe wa African Women Leaders Network, yaeleza yalitokea Oktoba 29

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mapema leo, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulikutana na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, akiwa ameambatana na aliyekuwa Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde.

Ziara ya ujumbe huo nchini Tanzania inalenga kukutana na makundi mbalimbali, ikiwemo vyama vya siasa na asasi za kiraia, kwa lengo la kukusanya na kufuatilia taarifa kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025.

Kwa upande wa CHADEMA, ujumbe uliongozwa na Makamu Mwenyekiti Bara, John Heche, akifuatana na Katibu Mkuu, John Mnyika; Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa; Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Wakili Ali

Ibrahimu; pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Mama Suzan Lyimo.
Katika kikao hicho, CHADEMA iliwasilisha msimamo wake rasmi kama ulivyoazimiwa na Kamati Kuu ya chama , na kueleza kwa kina matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu na vitendo vya ukatili vinavyodaiwa kutokea kabla, wakati na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025.

Chama kinasisitiza umuhimu wa uchunguzi huru na wa haki, uwajibikaji kwa wote waliohusika, pamoja na kulindwa kwa misingi ya demokrasia, haki na utawala wa sheria nchini.

SnapInsta-Ai_3879510879099869145.jpg
SnapInsta-Ai_3879510878319704637.jpg
SnapInsta-Ai_3879510877346600319.jpg
 
View attachment 3576172View attachment 3576171View attachment 3576173
20 April 2026

CHADEMA raises rights concerns in talks with African Women Leaders​

By The Respondents Reporter

The leadership of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) on Monday met a high-level delegation from the African Women Leaders Network (AWLN), which is in Tanzania to engage stakeholders on governance and human rights developments.

The delegation is led by former Liberian President Ellen Johnson Sirleaf and includes former Ethiopian President Sahle-Work Zewde.

The team is holding consultations with political parties and civil society groups to gather information on incidents reported before and after October 29, 2025.

CHADEMA’s delegation was headed by Vice Chairman (Mainland) John Heche, alongside Secretary General John Mnyika, Deputy Secretary General (Mainland) Amani Golugwa, Deputy Secretary General (Zanzibar) Ali Ibrahimu and Council of Elders Chairperson Suzan Lyimo.

During the meeting, CHADEMA presented its official position as adopted by its Central Committee, detailing alleged cases of human rights violations and violence linked to the period surrounding the October 29, 2025 events.

The party called for an independent and impartial investigation, stressing the need for accountability for those responsible.

It also underscored the importance of protecting democratic principles, respect for human rights and adherence to the rule of law
 
Chadema imeanika uchafu wote yaani!

Bila Chadema hii nchi ingepotea mno
 
20 April 2026
Dar es Salaam, Tanzania

Marais wastaafu Bi. Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia na Bi Sahle-Work Zewde wa Ethiopia wakutana na CHADEMA cha kikuu cha siasa nchini Tanzania

Ni muendelezo wa viongozi wa kitaifa wa nje na wale wa mashirika ya Kimataifa kuzungumza na viongozi wa CHADEMA ili kupata picha halisi ya kisiasa nchini Tanzania

Ujumbe huo mzito wa wanawake wenye ushawishi barani Afrika wa African Women Leaders Network (AWLN) upo nchi Tanzania kwa ziara ya kikazi.
1776705029422.jpeg
 
Mapema leo, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulikutana na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, akiwa ameambatana na aliyekuwa Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde.

Ziara ya ujumbe huo nchini Tanzania inalenga kukutana na makundi mbalimbali, ikiwemo vyama vya siasa na asasi za kiraia, kwa lengo la kukusanya na kufuatilia taarifa kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025.

Kwa upande wa CHADEMA, ujumbe uliongozwa na Makamu Mwenyekiti Bara, John Heche, akifuatana na Katibu Mkuu, John Mnyika; Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa; Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Wakili Ali

Ibrahimu; pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Mama Suzan Lyimo.
Katika kikao hicho, CHADEMA iliwasilisha msimamo wake rasmi kama ulivyoazimiwa na Kamati Kuu ya chama , na kueleza kwa kina matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu na vitendo vya ukatili vinavyodaiwa kutokea kabla, wakati na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025.

Chama kinasisitiza umuhimu wa uchunguzi huru na wa haki, uwajibikaji kwa wote waliohusika, pamoja na kulindwa kwa misingi ya demokrasia, haki na utawala wa sheria nchini.

View attachment 3576172View attachment 3576171View attachment 3576173
Hili chama kwa mambo ya Organisation nawapa 100%, they are never shaken eve during hard times
 
March 2026
Johannesburg,
South Africa

In Conversation with Gertrude Mongella on State of Democracy in Tanzania after 29 October 2025 elections, Women, Africa and UN.

View: https://m.youtube.com/watch?v=MPUWgni4SD4
161 Likes. 49,277 Views

Gertrude Ibengwe Mongella is a Tanzanian politician who was the first president of the Pan-African Parliament and was president of the African Union Commission from 2003 to 2008.

Chapters:
Source : African Renaissance Podcast

An interview with Aili Tripp, author of Women and Power in Post-Conflict Africa

View: https://m.youtube.com/watch?v=oykX5Pjf1AI
We sit down with Aili Mari Tripp to discuss her book Women and Power in Post-Conflict Africa, which examines why women's rights are improving more rapidly in post-conflict countries in Africa than elsewhere on the continent
 
March 2026
Johannesburg,
South Africa

In Conversation with Gertrude Mongella on State of Democracy in Tanzania after 29 October 2025 elections, Women, Africa and UN.

View: https://m.youtube.com/watch?v=MPUWgni4SD4
161 Likes. 49,277 Views

Gertrude Ibengwe Mongella is a Tanzanian politician who was the first president of the Pan-African Parliament and was president of the African Union Commission from 2003 to 2008.

Chapters:
Source : African Renaissance Podcast

Kimataifa utawala wa waovu Tanzania unamulikwa sana, ngumu mwovu kutetewa
 
Back
Top Bottom