Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ule utapeli kwamba Tanzania ni Nchi ya amani kwisha habariSema MO29, ilikuwa moto sana, Tanzania hatujawai fanyiwa assessment hivi
20 April 2026Mapema leo, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulikutana na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, akiwa ameambatana na aliyekuwa Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde.
Ziara ya ujumbe huo nchini Tanzania inalenga kukutana na makundi mbalimbali, ikiwemo vyama vya siasa na asasi za kiraia, kwa lengo la kukusanya na kufuatilia taarifa kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025.
Kwa upande wa CHADEMA, ujumbe uliongozwa na Makamu Mwenyekiti Bara, John Heche, akifuatana na Katibu Mkuu, John Mnyika; Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa; Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Wakili Ali
Ibrahimu; pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Mama Suzan Lyimo.
Katika kikao hicho, CHADEMA iliwasilisha msimamo wake rasmi kama ulivyoazimiwa na Kamati Kuu ya chama , na kueleza kwa kina matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu na vitendo vya ukatili vinavyodaiwa kutokea kabla, wakati na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025.
Chama kinasisitiza umuhimu wa uchunguzi huru na wa haki, uwajibikaji kwa wote waliohusika, pamoja na kulindwa kwa misingi ya demokrasia, haki na utawala wa sheria nchini.
View attachment 3576172View attachment 3576171View attachment 3576173
Chadema imeanika uchafu wote yaani!20 April 2026
CHADEMA raises rights concerns in talks with African Women Leaders
By The Respondents Reporter
The leadership of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) on Monday met a high-level delegation from the African Women Leaders Network (AWLN), which is in Tanzania to engage stakeholders on governance and human rights developments.
The delegation is led by former Liberian President Ellen Johnson Sirleaf and includes former Ethiopian President Sahle-Work Zewde.
The team is holding consultations with political parties and civil society groups to gather information on incidents reported before and after October 29, 2025.
CHADEMA’s delegation was headed by Vice Chairman (Mainland) John Heche, alongside Secretary General John Mnyika, Deputy Secretary General (Mainland) Amani Golugwa, Deputy Secretary General (Zanzibar) Ali Ibrahimu and Council of Elders Chairperson Suzan Lyimo.
During the meeting, CHADEMA presented its official position as adopted by its Central Committee, detailing alleged cases of human rights violations and violence linked to the period surrounding the October 29, 2025 events.
The party called for an independent and impartial investigation, stressing the need for accountability for those responsible.
It also underscored the importance of protecting democratic principles, respect for human rights and adherence to the rule of law
Hili chama kwa mambo ya Organisation nawapa 100%, they are never shaken eve during hard timesMapema leo, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulikutana na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, akiwa ameambatana na aliyekuwa Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde.
Ziara ya ujumbe huo nchini Tanzania inalenga kukutana na makundi mbalimbali, ikiwemo vyama vya siasa na asasi za kiraia, kwa lengo la kukusanya na kufuatilia taarifa kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025.
Kwa upande wa CHADEMA, ujumbe uliongozwa na Makamu Mwenyekiti Bara, John Heche, akifuatana na Katibu Mkuu, John Mnyika; Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa; Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Wakili Ali
Ibrahimu; pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Mama Suzan Lyimo.
Katika kikao hicho, CHADEMA iliwasilisha msimamo wake rasmi kama ulivyoazimiwa na Kamati Kuu ya chama , na kueleza kwa kina matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu na vitendo vya ukatili vinavyodaiwa kutokea kabla, wakati na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025.
Chama kinasisitiza umuhimu wa uchunguzi huru na wa haki, uwajibikaji kwa wote waliohusika, pamoja na kulindwa kwa misingi ya demokrasia, haki na utawala wa sheria nchini.
View attachment 3576172View attachment 3576171View attachment 3576173
😄😄Ule utapeli kwamba Tanzania ni Nchi ya amani kwisha habari
March 2026
Johannesburg,
South Africa
In Conversation with Gertrude Mongella on State of Democracy in Tanzania after 29 October 2025 elections, Women, Africa and UN.
View: https://m.youtube.com/watch?v=MPUWgni4SD4161 Likes. 49,277 Views
Gertrude Ibengwe Mongella is a Tanzanian politician who was the first president of the Pan-African Parliament and was president of the African Union Commission from 2003 to 2008.
Chapters:
Source : African Renaissance Podcast