CHADEMA yampa siku tatu Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa awe amewajibika

Kuna mpuuzi mmoja anadai chadema walipewa pesa ili wasiongelee mambo ya TANESCO ameshupaza shingo sijua kwamba hata kula amekula leo
 
Hawa Chadema naona bora wangechukua muda mrefu zaidi waje na ripoti kamili, kuliko hivi walivyofanya kutoa ripoti nusu, sijui walikuwa na haraka ya nini kufanya hivi, njoo na jambo kamili, uki-push, una push moja kwa moja.

Sio leo wenasema PM na Mwigulu wanapaswa kujiuzulu, kesho tena wakija na nusu ripoti iliyobaki waseme fulani na fulani wanatakiwa kujiuzulu, wakati hawa wa mwanzo bado wako ofisini, mwishowe unageuka usanii mtupu.
 
Eeee Yarabi nipe uhai mpaka tarehe ya mwisho aliyopewa huyo mate ili nione watamfanya nini.

Amiin.
 
View attachment 2583352

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , kimetoa muda wa siku 3 kuanzia leo hadi 13/4/2023 kwa Waziri Mkuu Mh Kasimu Majaliwa awe amewajibika kutoka na ubadhirifu wa kutosha ambao umeanikwa na ripoti ya CAG .

Kauli hii ya kikakamavu imetolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika alipokuwa anaongea na waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kwenye makao makuu ya chama hicho huko kKinondoni , Nje ya Jiji la Dar es Salaam .

Mnyika amesema kwamba ubadhirifu huu ni Ushahidi wa wazi kabisa wa uwajibikaji mbovu wa Waziri Mkuu , ambaye ndiye Mtendaji Mkuu , mdhibiti mkuu na msimamizi mkuu wa utekezaji wa shughuli zote za Serikali .

Mnyika amedai kwamba ripoti ya CAG kwa miaka 2 sasa imeonyesha madudu mengi mno yasiyo na majibu , huku kukiwa hakuna hatua zozote za maana zilizochukuliwa , na katika kipindi chote hicho Msimamizi wa Shughuli za Serikali , kwa maana ya Waziri Mkuu ni Kasimu Majaliwa .

Chadema inatarajia Waziri Mkuu atatumia hotuba ya kuidhisha bajeti ya ofisi yake tarehe 13/4/2023 bungeni Dodoma kutangaza pia kujiuzulu baada ya kushindwa kabisa kusimamia shughuli za serikali kama kiapo chake kinavyomuelekeza .

Mungu ibariki Tanzania .
Chadema tunajua anayewalipa kwa Sasa ila wananchi wanajua
 
Bongo hiihii?
 
View attachment 2583352

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , kimetoa muda wa siku 3 kuanzia leo hadi 13/4/2023 kwa Waziri Mkuu Mh Kasimu Majaliwa awe amewajibika kutoka na ubadhirifu wa kutisha ambao umeanikwa na ripoti ya CAG .

Kauli hii ya kikakamavu imetolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika alipokuwa anaongea na waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kwenye makao makuu ya chama hicho huko Kinondoni , Nje ya Jiji la Dar es Salaam .

Chadema inatarajia Waziri Mkuu atatumia hotuba ya kuidhinisha bajeti ya ofisi yake tarehe 13/4/2023 bungeni Dodoma kutangaza pia kujiuzulu baada ya kushindwa kabisa kusimamia shughuli za serikali kama kiapo chake kinavyomuelekeza .

Mungu ibariki Tanzania .
Ajizuru ili iweje?Wa kujiuzuru ni Rais Samiah Suluhu kwa sababu amekumbatia uozo wote wa Magufuri mfukoni.
 
Hao wachovu hawana la kumfanya. Ni mtu moja hapa duniani anaweza kumwajibisha Majaliwa Dr. Samia Suluhu Hassan hakuna mwingine hao ni mapoyoyo tu.
 
Back
Top Bottom