CHADEMA yampa siku tatu Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa awe amewajibika

Kuna mpuuzi mmoja anadai chadema walipewa pesa ili wasiongelee mambo ya TANESCO ameshupaza shingo sijua kwamba hata kula amekula leo
 
Hawa Chadema naona bora wangechukua muda mrefu zaidi waje na ripoti kamili, kuliko hivi walivyofanya kutoa ripoti nusu, sijui walikuwa na haraka ya nini kufanya hivi, njoo na jambo kamili, uki-push, una push moja kwa moja.

Sio leo wenasema PM na Mwigulu wanapaswa kujiuzulu, kesho tena wakija na nusu ripoti iliyobaki waseme fulani na fulani wanatakiwa kujiuzulu, wakati hawa wa mwanzo bado wako ofisini, mwishowe unageuka usanii mtupu.
 
Eeee Yarabi nipe uhai mpaka tarehe ya mwisho aliyopewa huyo mate ili nione watamfanya nini.

Amiin.
 
Chadema tunajua anayewalipa kwa Sasa ila wananchi wanajua
 
Bongo hiihii?
 
Ajizuru ili iweje?Wa kujiuzuru ni Rais Samiah Suluhu kwa sababu amekumbatia uozo wote wa Magufuri mfukoni.
 
Hao wachovu hawana la kumfanya. Ni mtu moja hapa duniani anaweza kumwajibisha Majaliwa Dr. Samia Suluhu Hassan hakuna mwingine hao ni mapoyoyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…