kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mbona kwenye maandamano hukutoka nina hakika mchango pia hutoi huna moyo huo!Tutachanga sana ,wewe inakuuma nini?
Acha wivu,kwani hujui chama ni watu na watu ni chama.Wao sii kama nyie chama ni policcm na ccm ni policcmMwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza.
Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
Kama una mchango toa saccos wazindue kampeni!Acha wivu,kwani hujui chama ni watu na watu ni chama.Wao sii kama nyie chama ni policcm na ccm ni policcm
Vipi umeshawachangia wenzio waweze kuwafikia wa pika kula yao?Kama una mchango toa saccos wazindue kampeni!
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza.
Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
CCM haichangishi michango ya kidwanzi!Vipi umeshawachangia wenzio waweze kuwafikia wa piga kula wao?
Hakika wamekubaliana kunyukana ila damu isitoke!
Ila wanakwiba kwa namna zote sioCCM haichangishi michango ya kidwanzi!
Sifahamu!Ila wanakwiba kwa namna zote sio
Vipi wewe unaamini katika lipi?Hata kama ni kwenye kuengua sema.Sifahamu!