LGE2024 CHADEMA yaomba michango kuzindua kampeni Nyamagana

LGE2024 CHADEMA yaomba michango kuzindua kampeni Nyamagana

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza.

Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
Huyo kijana Pambalu anatukana watu ni maskini kila siku halafu maskini hao hao wamchangie? Hana akili!!!
 
Kwani ni kazi ya chama cha upinzani kujenga hospitali? Hujui maana na dhima za vyama vya upinzani?
Huko USA watu wamechanga mabilioni ya dollar kwa ajili ya kampeni au hujui? Ulishawahi kuona popote watu wa democratic wakil shadadia kama wewe pesa za chama kingine zinatumikaje?
Jifunze kusoma kwa wengine mkuu.
Chama kuomba michango kwa wanachama wake ni jambo la kawaida sana japo kwako ni geeeeni.
Hata mwalimu wakati wa kudai uhuru alichangiwa sana tu.
Sasa nakushangaa wewe unataka kulifanya jambo genius na la aibu.?
Inachekesha sana
Msima huu ungeuonyesha tarehe 23/9 wa tisa ningejua kweli una uchungu lakini hukusogeza hata kisigino unaonyesha ni wale wale kelele za bure kutumia vidole!
 
Back
Top Bottom