LGE2024 CHADEMA yaomba michango kuzindua kampeni Nyamagana

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza.

Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
Chama cha Michango
 
Saccos inataka kuzindua hakuna mafuta ya jenereta!
Mtu mzima hovyooo! Mbona makanisa kila siku yanakusanya sadaka na warming hawalalamiki? Unalalamika wewe ambaye siyo muumini?
Habari ni nini sasa hapo?
 
Join the chain zilipotea bila maelezo!
Na ESCROW, TWEEN TOWER Je?
Balali alizikwa wapi?
Unashangaa kupotea kwa pesa za join the chain wakati kuna gavana wa ccm alipotea mzima kama Ben sanane na anzory gwanda.
Akili zipo mzee?
 
Hizo zote ulizo orodhesha umetangaziwa kuna uwazi je join the chain taarifa zake ziko wapi?
 
Ruzuku hiyo ndiyo kazi yake!
Unapanga matumizi ya kwenye nyumba ya mwenzio?
Yaani hukuwa na jambo la kulitolea taarifa kama habari hii kwako ndo bonge ya habari na ukaona ita hit

Mbona wananchi mitaani wanalipa kodi na wanachangia pesa za taka na sungusungu hujawahi sema na kushadadi kwakuwa siyo chadema???
Mbona tunalipa kodi lakini standing tunalipia vyooo?
Akili ndogo ni sumu ya mwili mkuu
 
Hizo zote ulizo orodhesha umetangaziwa kuna uwazi je join the chain taarifa zake ziko wapi?
Wewe ni CAG? Chadema hakuna wahasibu? Pesa za ruzuku za ccm nazo huwa zinatangazwa mitaani na kwenye mitandao ili wewe ujue zinatumikaje?
 
Unapanga matumizi ya kwenye nyumba ya mwenzio?
Yaani hukuwa na jambo la kulitolea taarifa kama habari hii kwako ndo bonge ya habari na ukaona ita hit

Mbona wananchi mitaani wanalipa kodi na wanachangia pesa za taka na sungusungu hujawahi sema na kushadadi kwakuwa siyo chadema???
Mbona tunalipa kodi lakini standing tunalipia vyooo?
Akili ndogo ni sumu ya mwili mkuu
Kunywa maji utulie saccos inatafuta michango kama ipo toa na kama roho inauma nimetoa habari ya saccos basi sitopandisha tena uzi kuihusu saccos mpaka unipe kibali katibu mkuu,!
 
Wewe ni CAG? Chadema hakuna wahasibu? Pesa za ruzuku za ccm nazo huwa zinatangazwa mitaani na kwenye mitandao ili wewe ujue zinatumikaje?
Kwahiyo inaonekana jazba imepanda sana kwa kuwa tunataka kujua michango yetu inatumikaje!
 
Kunywa maji utulie saccos inatafuta michango kama ipo toa na kama roho inauma nimetoa habari ya saccos basi sitopandisha tena uzi kuihusu saccos mpaka unipe kibali katibu mkuu,!
Kichwa maji wewe. Hujui hata maana ya habari una puyanga tu.
Hivi wanachama wa jumuiya au chama fulani wakiamua kwa hilarious yao kuchanga kuhusu jambo fulani nayo ni habar ya kushupaza shinto?
Haya jumapili nenda kanisani kwa mwamposa ukadai Bank statements za sadaka tujue kweli kinakuuma?
 
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza.

Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.

Mbowe amecheleweshwa sana maendeleo ya chama .
Pumbavu sana
 
Kwahiyo inaonekana jazba imepanda sana kwa kuwa tunataka kujua michango yetu inatumikaje!
Kaulize kwanza kanisani ndo umalizie kwenye vyama. Uanze na ccm utoe taarifa ya bashiru kwanza ile ya Magufuli kisha uje kwenye vyama. Itafaa zaidinu
 
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza.

Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
yaani uchangie mwenyekiti anayefanyia biashara chama?
 
Back
Top Bottom