LGE2024 CHADEMA yaomba michango kuzindua kampeni Nyamagana

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni muda wa Pumbulu kula hela za wajinga watakaochangia.. kweli nyumbu ni janga la kitaifa.
 
RC, KKT, na yote ya Kroho ukianza na kiboko ya wachawi.
Kisha hoji pesa za mwenge wanazo changsha watumishi wakati mwengu una bajeti iliyopitishwa na bunge
Unajua mengi sana lakini wananchi wanataka kujua pesa zao zinazochangishwa kupitia laini za simu ghafla tu saccos inaomba michango ya uzinduzi!
 
Wewe usitoe. Hao wananchi watatoa. Ukienda kwenye maziko na kutoa lambilambi inaonekana usipopewa chakula huwa una lalamika sana wewe?
Zile pesa za tetemeko la kagera zilienda wapi? Na hao wananchi walipo lalamika walijibiwa nn?
 
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza.

Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
Lissu analala kwenye mahoteli ya kifahari ulaya na marekani kwa kutumia fedha za chama
 
Wewe usitoe. Hao wananchi watatoa. Ukienda kwenye maziko na kutoa lambilambi inaonekana usipopewa chakula huwa una lalamika sana wewe?
Zile pesa za tetemeko la kagera zilienda wapi? Na hao wananchi walipo lalamika walijibiwa nn?
Haziitwi lambi lambi=rambi rambi .zilijenga hospital je za join the chain zilofanya nini!
 
Kwani ni kazi ya chama cha upinzani kujenga hospitali? Hujui maana na dhima za vyama vya upinzani?
Huko USA watu wamechanga mabilioni ya dollar kwa ajili ya kampeni au hujui? Ulishawahi kuona popote watu wa democratic wakil shadadia kama wewe pesa za chama kingine zinatumikaje?
Jifunze kusoma kwa wengine mkuu.
Chama kuomba michango kwa wanachama wake ni jambo la kawaida sana japo kwako ni geeeeni.
Hata mwalimu wakati wa kudai uhuru alichangiwa sana tu.
Sasa nakushangaa wewe unataka kulifanya jambo genius na la aibu.?
Inachekesha sana
 
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza.

Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
Mbona hata ccm wamewaandikia barua wadau kuwaomba michango!!!!
Hiyo ni kawaida sehemu zote.
 
unagongwa wewe wameombwa wananchi Tena sio CHADEMA Wala ccm, mwanaccm bila haya kinakuuma nn
 
Haya CHADEMA huwa wanafanya kazi ya kushindana kuchangisha pesa na kuomba michango kwa wananchi.ila huwezi kuwasikia wakitoa mrejesho wa kiasi gani wamekipata. Watanzania msithubutu kuwachangia maana hadi leo pesa za join the chain haijulikani zipo wapi.
 
Naunga mkono.....
 
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza.

Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
Tunakushukuru kwa kutufahamisha uwepo wa mchango huu maana wengine tusingejua. Ngoja niwarushia japo laki 1 hawa wapambania demokrasia na haki za raia.
 
Back
Top Bottom