CHADEMA yapata pigo, Chage Alex Chage ajiunga CCM

Mods rekebisheni heading. Bwana Chage Alex Chage ni mwanachama wa Nccr mageuzi, alihamia kwenye chama hicho akitokea chadema mwaka jana kabla ya uchaguzi mkuu. Aligbea ubunge kupitia Nccr mageuzi.
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi na kutuondoa kwenye mtego wa kudanganywa na hawa wahamiaji haramu wa lumumba
 
Reactions: PNC
Hivi nyie mabumunda ya ccm mnadhani nchi isipokuwa na upinzani imara,mambo yataenda?
Tunahitaji upinzani imara, siyo huu wa sasa hivi ambao umejaa porojo bila hoja zozote za maana wala sera zinazowakilisha mahitaji yetu wananchi
 
Miaka 5 ndani ya Bunge na maslahi yake si haba!

Kila mwanachadema anafanyia kazi maslahi yake binafsi kwa bidii
Mwenyekiti anafanyia maslahi yake ya kudumu
Tundu na lema wanafanyia maslahi yao ya kula bata ughaibuni
Tuwaache hawa na wafanye maslahi😅😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…