mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Hivi bado wananunuliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi bado wananunuliwa?
Mkuu,Kufika 2025 hakuna Chadema. Itabaki JF tu!
Hivi bado wananunuliwa?
Mpaka sasa mumetumia Dola TRA na Mabilioni ya hela za Walipakodi ili kuiuwa Chadema lakini wapi
Chadema is here to stay
View attachment 1788105
Bado watu wanahofu itachukua muda kidogokunywa maji aliekua ananunua wapinzani hayupo tena hawa sjui watakua wamekuja kufanya nn uku
Wamemwachia JEHANAMU yote peke yake , kwa raha zake😂😂Ndiyo nani huyo? Mwambieni aunge juhudi za moja kwa moja kwenda kuwa mpambe wa Jiwe kwenye kampeni za kuwania ukuu wa malaika. Mwenzenu kule anasafa analalamika mumeishia njiani kuunga mkono juhudi. Siyo poa mjue!
Bado watu wanahofu itachukua muda kidogo
Kama mnaona mnakubalika jipimeni na Chadema kwenye uwanja sawa hiyo tume ni joke
View attachment 1788132
Acha kuposti Picha Ndugu iwapo CCM inakubalika kwanini isijipime nguvu kwenye Uwanja sawa inaogopa nini?
Kwa mara ya kwanza namsikia huyu jamaa. Alikuwa akiishi choo cha jinsia gani?
Acha kuposti Picha Ndugu iwapo CCM inakubalika kwanini isijipime nguvu kwenye Uwanja sawa inaogopa nini?
Jipimeni muone jinsi Watanzania wanavyowakubali na kama hawawakubali basi waacheni Chadema watuongoze
Eidha unajirusha fahamu au makusudi mbona mumefungia Mikutano ya Siasa za Majukwaani achieni muonenguvu yenu ndo hio apo sasa
Eidha unajirusha fahamu au makusudi mbona mumefungia Mikutano ya Siasa za Majukwaani achieni muone
Sasa si bora tuachiwe tufanye siasa ili wananchi wakiona hatuna la maana wao ndio wenye kuamua na sio ccmhata mkiachiwa mfanye siasa kila lisaa hakuna cha maaana