CHADEMA yapata pigo, Chage Alex Chage ajiunga CCM

CHADEMA yapata pigo, Chage Alex Chage ajiunga CCM

Mama samia namna iyo co vizuri, ona sasa wanahama na kuhamia kwako,,mpaka ifike 2025 watakua washaisha, atabaki mbowe peke yake 😁

Saamia saleh hassan, Mungu akuongoze na akufanyie wepesi katika shughuli zako.
 
Back
Top Bottom