CHADEMA yapata pigo, Chage Alex Chage ajiunga CCM

CHADEMA yapata pigo, Chage Alex Chage ajiunga CCM

Kila mwanachadema anafanyia kazi maslahi yake binafsi kwa bidii
Mwenyekiti anafanyia maslahi yake ya kudumu
Tundu na lema wanafanyia maslahi yao ya kula bata ughaibuni
Tuwaache hawa na wafanye maslahi😅😅😅😅
Ndio maana wanawakomalia akina Mdee baada ya kugundua wamewapiga bonge la bao!
 
Ipo kwako, mtaani kwako, katani kwako, tarafani kwako, wilayani kwako, mkoani kwako, taifani kwako, Afrika na dunia nzima. Huna jinsi ya kuikwepa LEGACY YA JPM!!!!!
Legacy inalindwa na mitambo maalum ya MATAGA. Kaa mbali!
 
Ipo kwako, mtaani kwako, katani kwako, tarafani kwako, wilayani kwako, mkoani kwako, taifani kwako, Afrika na dunia nzima. Huna jinsi ya kuikwepa LEGACY YA JPM!!!!!
Lazima nawewe corona ikusombe
 
Cheo chake ni mwanachama wa CDM ? Anapokelewa na Mwenyekiti wa CCM mkoa?
Tuondolee upuuzi hapa, akili za Shaka ni ndogo kama za Mwenyekiti wake.
Mwanachama wa cdm akihamia ccm Ni nderemo vifijo ngoma kuanzia cc, nec mkutano mkuu utadhani cdm Iko madarakani
 
Ndiyo nani huyo? Mwambieni aunge juhudi za moja kwa moja kwenda kuwa mpambe wa Jiwe kwenye kampeni za kuwania ukuu wa malaika. Mwenzenu kule anasafa analalamika mumeishia njiani kuunga mkono juhudi. Siyo poa mjue!
kunywa maji
 
Mleta mada tuliza ma naniliu hayo tuliza tuliza mananiliu tuliza
Dc wa Iringa.
 
Back
Top Bottom