CHADEMA yapata pigo, Chage Alex Chage ajiunga CCM

CHADEMA yapata pigo, Chage Alex Chage ajiunga CCM

hata mkiachiwa mfanye siasa kila lisaa hakuna cha maaana mtakachoongea ni bora muendelee kukandamizwa tu mpaka mtakapokua na akili timam, yaliotokea kwa lowasa yasikuvuruge ukadhan ile ni nguvu ya chadema!
Wewe yaonekana ni wa aina ya akina Ole Sabaya, masalia ya mwendakuzimu. Usipoamua kukubakiana mwendo wa wakati na nyakati za MM, hauna muda utajinyonga kwa frustration.
 
MATAGA bana, huyo bwege hakuwa mwanachama wa CHADEMA, alikuwa NCCR. Afu cha kushangaza MATAGA yanashangilia tu. Wenzao wanatoka upinzani kuja kwao na kulambishwa vyeo huku wafia chama yakiwa mitandaoni yakidemka demka.

Kama hamjui Wengi walikimbilia NCCR enzi zile mama Tanzania alivyokuwa anamsifia sana mwendakuzimu, mara aonekane Ikulu. Watu wakajua kuwa NCCR ndio inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani maana jiwe alijiapiza kuiangamiza CHADEMA.

Mafukara, malofa na malaya wa kisiasa wakaanza kukimbilia huko NCCR huku wakijua kabisa kinaenda kuwa chama kikuu cha upinzani na wao watakuwa wamelamba dume, masikini kumbe haikuwa hivyo. Kwani hamkujiuliza kuwa NCCR ina mvuto kiasi gani kiasi kwamba kulikuwa na wimbi la malaya wa kisiasa wakitimkia huko?

Ndio hawa unawaona saivi wakirudi chama tawala kwa nguvu kutafuta vyeo kwa udi na uvumba huku wale wafia chama yakiwa yamekaa tu kama misukule au mazindiko yakikenua meno kama shoga lililofikishwa kileleni na MATAGA!

Mkiambiwa hakuna MATAGA anaetumia akili yake mwenyewe muwe mnaelewa.
 
Wewe yaonekana ni wa aina ya akina Ole Sabaya, masalia ya mwendakuzimu. Usipoamua kukubakiana mwendo wa wakati na nyakati za MM, hauna muda utajinyonga kwa frustration.
mbna magufuli alikua mpole tu, ingekua ni mm najenga fly over kama pale ubungo, wananchi waseme inawasaidia nyie muaze kuja kusema hazina kazina, pale darajani ungevuka kwa kadi ya uanachama tu!
 
mbna magufuli alikua mpole tu, ingekua ni mm najenga fly over kama pale ubungo, wananchi waseme inawasaidia nyie muaze kuja kusema hazina kazina, pale darajani ungevuka kwa kadi ya uanachama tu!
Kwa mitazamo 'duni' ya kujitoa fahamu kama hiyo ndio wazidi kuthibitisha unavyofanana na Ole Sabaya,
Wakati wa mungu wa Burigi ungeweza kuzawadiwa japo kacheo ili ukaendeleze udhalimu, kama akina Makonda et al. Lakini Mungu mwenye upendo aliamua kuwaepusha watz na gharika ya ukandamizaji ambayo ingetujia kwenye mitano tena.
AMEN
 
kama huo ni udhalimu basi mm nko tayar kuendeleza, afterall samia atamaliza mda wake atatuachia ccm yetu then tutadeal na nyie vizuri, mseme vizuri fly over hazina kazi
 
Back
Top Bottom