CHADEMA Yapinga Uteuzi wa Jakaya Kikwete ndani ya AU, Yataka Mapitio ya Haraka

Ila Hawa jamaa ni kwanini walipewa waongoze hyo saccos ilhali wanamapingufu makubwa ya akili.?( Vichaa)
 
Kumtetea Kikwete unapaswa uwe mwehu
 
ujinga mtupu
Nchi zote za Afrika ziridhie halafu kichadema kinaota kutengua teuzi
AU ni kijiwe cha watawala wa Africa kufanya maisha yao binafsi tu na kama kijiwe chao cha soga, hawawakilishi matakwa na matarajio halisi ya raia wa bara la Africa.
 
Kikwete amewahi kuzuia vita nchi gani??
1. Migogoro wa Kenya uchaguzi wa Mwai kibaki, wasuluhishi kibao walishindwa mpaka Alipoenda Kikwete, Mkapa na Koffi Anan ikaundwa Serikali ya Mseto baina ya Kibaki na Odinga.

2. Mgogoro wa Comoro, baada ya waasi kuingia na kuleta machafuko Kikwete Alipeleka Jwtz kule na kuweka mambo Sawa

3. Mgogoro wa Congo na M23 Kikwete pia aliuzima around 2012, mpaka Kikwete anaondoka Uraisi kitu alichofanikiwa ni kumdhibiti Kagame asilete vita.

4. Burundi mara kibao kuna machafuko na msuluhishi ni yeye.

5. Kikwete 2007 wakati Mugabe na Morgan Tsvangarai wanatifuana na karibia Nchi kuingia Civil war ni yeye aliewapatanisha na kupropose sharing power na kuundwa Serikali Mseto.

6. Kikwete ndio aliowaleta Ravalomanana na Rajoelina hapa Dar na kuwasuluhisha, kuepusha Madagascar na Civil war.

Kuna suluhishi nyingi Sana kafanya zaidi ya hizo, huwi Raisi wa Au, Sadc, Eac, kuwa Appointed direct na Karibu mkuu wa UN kusuluhisha migogoro kama huna CV hio.
 
REKODI YA KIKWETE AKIKIRI HADHARANI


TOKA MAKTABA :

18 June 2020

Kikwete - Niliwafukuza Nkurunzinza, Evariste na Rajabu Hussein ... wakati wa mazungumzo ya Dar es Salaam na Arusha, ...pia poleni sana.. tupo pamoja..uchungu wenu ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=L4DH0kSJVBcRais wa Burundi mheshimiwa jenerali Evariste Ndayishimiye akiwa na rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete mjini Gitega Burundi mwaka 2020.. ambapo Jakaya Kikwete aliongea siri ya mazungumzo ya kuleta amani nchini Burundi ilivyokuwa ngumu huku wakati huo Evariste Ndayishimiye alikuwa mbishi sana kama watu wa Ujiji Kigoma Tanzania rais mstaafu akiwahutubia Warundi kwa kiswahili na kushangiliwa sana..
 
Samia na Kikwete wameiharibu nchi ya Tanzania hadi tunaletewa huyu jamaa Bw. Parfait Onanga-Anyanga mjumbe maalum wa katibu mkuu wa UN aliyeshugulika na matukio ya aibu, unyama, mauaji, uroho wa madaraka n.k huko Burundi, CAR -Jamhuri ya afrika ya Kati, Boko Haram, Somalia

TOKA MAKTABA:

2013 Januari 30

CHANGAMOTO ZA BURUNDI, MAZUNGUMZO YA ARUSHA ACCORD* 2000 KUIJENGA NCHI UPYA


View: https://m.youtube.com/watch?v=86rexqHH0UEParfait Onanga-Anyanga alizungumzia uzoefu wake kama Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini Burundi (BNUB) katika tukio hili la Mfululizo wa SRSG katika IPI siku ya Ijumaa, Januari 25. Tukio hilo liliongozwa na Mshauri Mkuu wa Mahusiano ya Nje wa IPI, Warren Hoge


ARUSHA ACCORD* 2000
Makubaliano ya Arusha (Arusha Accord), yaliyosainiwa mnamo Agosti 28, 2000, nchini Tanzania, yalikuwa makubaliano muhimu ya amani yaliyohitimisha miaka 12 ya vita vya wenyewe kwa wenyewe na vurugu za kikabila nchini Burundi.. Kwa upatanishi wa Julius Nyerere na Nelson Mandela, makubaliano hayo yalianzisha mgawanyo wa madaraka, usawa wa kikabila, na mageuzi ya kijeshi.

TOKA MAKTABA
21 Julai 2015

TANZANIA ARUSHA ACCORD 2000 : US PRESIDENT BILL CLINTON ARRIVES 2​



View: https://m.youtube.com/watch?v=x7rpdynESsY(28 Aug 2000) English/NatXFAPresident Bill Clinton and Nelson Mandela have warned Burundi's Hutu and Tutsi factions on the consequences of failing to reach a full peace treaty.Seven years of ethnic warfare in the East African nation have killed more than 200,000 people.Mandela and other mediators have tried for weeks to craft a Burundi ceasefire and it was hoped Clinton could join 12 African leaders in witnessing a peace agreement signing.President Clinton and his daughter Chelsea were greeted by Tanzanian President Benjamin Mkapa and tribal dancers before both leaders immediately went into private talks.Clinton arrived to find talks over the situation in Burundi in apparent disarray.Burundi's president had demanded last-minute changes to a power-sharing agreement that was supposed to be signed on Monday.But the power-sharing agreement signed on Monday wasn't approved by Hutu rebels, who hadn't participated in the talks, or by several small Tutsi parties.The leaders of the two main Hutu rebel groups fighting on the ground were noticeably missing.Clinton later met with former South African President Nelson Mandela in hopes that they could come up with a way to salvage the situation.The White House insisted that Clinton was in Arusha simply to show his support for Mandela regardless of whether a peace agreement would be ready.In his address to Burundi's opposing factions and a 12 African leaders Clinton paid tribute to Mandela's mediation efforts.SOUNDBITE: (English)"After 27 years in prison and four year as president of his country which some people think is another form of prison he could be forgiven if he had pursued other things. But he came here because he believes in peace and reconciliation. He knows there is no guarantee of success but if you don't try there is a guarantee of failure."SUPER CAPTION: US President Bill ClintonAs Mandela spoke, several seats on the stage remained empty. But, in a symbolic move, the Tutsi representatives filed back in to the auditorium to take their seats as Clinton addressed the group.SOUNDBITE: (English)"But we have a section of the leadership who do not care for the slaughter of innocent people inside Burundi. Who never think but in terms of money, who do not appreciate the generosity of the international community, who are still refusing to sign even though the previous day they had agreed to sign."SUPER CAPTION: chief Burundi peace mediator Nelson MandelaNelson Mandela, the chief mediator between the warring parties, accused some members of the main Tutsi coalition of sabotaging the process after they refused to attend the ceremony. After the signing, Mandela lost his balance and fell forward but several African leaders caught him and set him back on his feet.
 
Hiki chama mbona kimeanza kukosa leadership?
 
Samia na Kikwete wameiharibu nchi ya Tanzania hadi tunaletewa huyu jamaa Bw. Parfait Onanga-Anyanga mjumbe maalum wa katibu mkuu wa UN aliyeshugulika na matukio ya aibu, unyama, mauaji, uroho wa madaraka
Hon. Parfait Onanga-Anyanga Mjumbe maalum wa Katibu mkuu UN Antonio Guttllerres atingia Ikulu kumkabili uso kwa uso Samia Hassan mtuhumiwa namba moja wa ICC The Hague aliyesimamia mauaji ya kabla, wakati na baada ya Oktoba 29, 2025 aliye mshikaji wa karibu wa Jakaya Kikwete

Hon. Parfait Onanga-Anyanga akiwa na Samia Hassan :

View: https://m.youtube.com/watch?v=xpy7Djl_HU0
 

SAFI SANA. Charity starts at home.

Sasa kama anashindwa kusuruhisha nyumbani atawezaje au anafaaje kusuruhisha majirani!!?
 
chadema malofa sana aise dah

nani kasaini hiyo barua yao, heche?

AU wakiipata watacheka sana
 
1. Mgogoro wa Kenya msuluhishi mkuu alikuwa Koffi Annan, Mkapa na Kikwete walienda kuongeza nguvu tu kama majirani na pia JK akiwa mwenyekiti wa AU pia. Hakuna wasuluhishi kibao walioshindwa.

2. Commoro mgogoro ulimalizwa kwa nguvu za jeshi, hakukuwa na diplomasia.

3. Sijui kwa nini unaongelea amani DRC ambayo muda wake wote tangu iwe nchi Iko vitani, katika jambo la kijinga ni kusifia kwamba DRC imewahi kutulia, haijawahi.

4.Burundi ndio nchi dhaifu zaidi Africa Mashariki na tegemezi kwa Tanzania, rais yeyote wa Tanzania anaweza kuipanga, hakuna maajabu hapo.

5.Tsavangirai asingeweza kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe Zimbabwe, jeshi la Zimbabwe halikuwa kugawanyika chini ya Mugabe. Tsavangirai alikuwa kama Lissu tu.

6.Ravalomanana na Rajoelina walikuja Dar kuhudhuria kikao cha usuluhishi cha SADC sio kwamba waliletwa na Kikwete.

Umaarafu wa JK katika diplomasia ni kama ule wa Tony Blair tu.
 
Tuwaombee chadema maana siku zinavyozidi kwenda afya ya akili zao inazidi kutetereka.Wakishika hili wanaacha lile, wanasema hili mara wanasema lile,hawa watu wapo sawa kweli?
 
1. Mgogoro wa Kenya msuluhishi mkuu alikuwa Koffi Annan, Mkapa na Kikwete walienda kuongeza nguvu tu kama majirani na pia JK akiwa mwenyekiti wa AU pia. Hakuna wasuluhishi kibao walioshindwa.
Si kweli usuluhishi ulikua kama hivi
1. Wa Kwanza kabisa alianza UN secretary Ban ki moon, hakukufikiwa muafaka Fujo zikaendelea

2. Kofi Anan na timu yake wakamteua Raisi wa south Africa Ramaphosa, akashindwa na watu wakamtuhumu ana business link na Odinga

3. Akaja Rice waziri wa Nje wa Marekani nae pia wakampiga, wakasema wanasikiliza ushauri wake ila solution itatokea ndani

4. Kikwete baadae huko ndio akaja ilimchukua siku moja Tu wakapatana,

Yes Anan ndio alikua kiongozi wa mapatano ila miezi hakufanikisha wapatane, mpaka msaada wa Tanzania toka kwa Kikwete, Mkapa na Juma mwapachu.
Huu ugomvi upo well documented usome zaidi hapa
2. Commoro mgogoro ulimalizwa kwa nguvu za jeshi, hakukuwa na diplomasia.
Ukitumia Jeshi bila kumwaga damu ni Diplomasia, Google Hard diplomacy kuelewa zaidi.
3. Sijui kwa nini unaongelea amani DRC ambayo muda wake wote tangu iwe nchi Iko vitani, katika jambo la kijinga ni kusifia kwamba DRC imewahi kutulia, haijawahi.
Lakini sio wakati wa Kikwete, Mseme unavyomsema ila jamaa alimuweza vizuri Tu Kagame na kuweza kupatanisha Makundi mbalimbali Ukanda huo.
4.Burundi ndio nchi dhaifu zaidi Africa Mashariki na tegemezi kwa Tanzania, rais yeyote wa Tanzania anaweza kuipanga, hakuna maajabu hapo.
Why baada yake yeye wengine hawawezi, why tulishindwa kudhibiti genocide ya 1994 kama ni nchi dhaifu?
5.Tsavangirai asingeweza kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe Zimbabwe, jeshi la Zimbabwe halikuwa kugawanyika chini ya Mugabe. Tsavangirai alikuwa kama Lissu tu.
Unahisi Lissu hawezi sababisha vita? Civil war sio lazima Jeshi ligawanyike, Una mifano kibao kwa majirani Congo, Uganda, Sudan etc kukiwa na machafuko yoyote na watu wanakufa kwa mamia tayari ni hatari kwa Nchi
6.Ravalomanana na Rajoelina walikuja Dar kuhudhuria kikao cha usuluhishi cha SADC sio kwamba waliletwa na Kikwete.
Sasa why walivyokuja Tu wakapatana, vikao vingapi vya Sadc nyuma hawakupatana? Na Kikwete alisuluhisha kirahisi Tu, hakuna wote kugombania, na uchaguzi uliofuatia wakawa Allies.
Umaarafu wa JK katika diplomasia ni kama ule wa Tony Blair tu.
Umaarufu wa Jk kidiplomasia Africa unatokana na success rate yake, kama kila anapotia mguu watu wanakubali kuacha Tofauti zao na kufanya Kazi pamoja ni jambo zuri. Sio Tu huko nje hata Serikali yake inajulikana Jinsi ilivyokuwa inclusive vijana wote hao kina Zito, Sugu, Lisu na wengineo wametoka kipindi chake na walipewa shavu japo walikua ni upinzani na ni yeye ndio aliruhusu wapinzani wasikauke ikulu, alichukua watanzania wengi toka nje ama Makampuni makubwa na kawaleta mashirika ya Umma, mpaka TBC wakati huo ilikua inaangaliwa kuliko Chanell yoyote Ile. So he is that kind of guy ni nature yake Diplomasia nyie mkawa mnamuita dhaifu
 
🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…