Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa!!!Mbowe na Lisu wamelamba billion 2.9 za ruzuku kimyakimya alafu wanawazuia wenzao fursa ya kugombea?
Ni nyumbu tu atakayekubali huu ubinafsi.
Kwani huo mda unakuwaje mdo kwao, si kipyenga kitapulizwa Kwa vyama vyote kuanzaa?? Uzuriii hao hao chadema wamesharuhusiwa kufanya mikutano ya hadhara na wako wanafanya nchi nzimaa, Sasa wanaogopa Nini? Kama si kukwepa aibu ya kugaragazwaa asubuhiiiMuda wa kampeni ni mdogo Sana au wewe unaona ni sawa?
Sasa ingieni Sasa, mbona mnasogeza magoliii?Haki kwa haki uwezi kumgalagaza
Muda mchache!Soma hiyo taarifa ya Chadema hapo juu
Kwani hiyo ruzuku ni fedha za CCM? Kwa taarifa yako kutokana na ushindi waliopata CDM, hata hiyo ruzuku ni chini ya halali yao.Chadema wanajua maeneo hayo hawana watu
Mbona ruzuku wanachukua zitokamazo na uchaguzi wa 2020 walioita haramu ? Ruzuku mbona wanachukua based kwa matokeo waliyoita haramu?
Wasanii tuu
Hakuna mtu atakuwa na muda wa kushiriki hizo chaguzi za kishenzi chini ya mazingira haya. Msipate tatizo la kuiba kura, goli liko wazi. Shirikini na ACT, CUF nk.Sasa ingieni Sasa, mbona mnasogeza magoliii?
Sasa mnachogomea uchaguzi wa.madiwani nini wakati Ruzuku mnachukua za uchaguzi ulipopita mliouita haramu? Wanafiki wakubwa nyieKwani hiyo ruzuku ni fedha za CCM? Kwa taarifa yako kutokana na ushindi waliopata CDM, hata hiyo ruzuku ni chini ya halali yao.
Si mfurahi ccm mtapita bila kupingwaTatizo lao wanadeka sana. Unaweza kudhani wao ndio chama pekee cha upinzani.
Hivi mbowe ni mtoto wa ngapi kwao kuzaliwa? Kwa mujibu wa wanasaikolojia kuna uhusiani mkubwa sana kati ya uzaliwa wa mtu na tabia zake!
Hapo baadae wataanza kulalamikia viongozi waliochaguliwa!
Huo ndio ukweli , kama Mmbwai na iwe Mmbwai tu !CHADEMA wasema hawatashiriki Chaguzi ndogo zote na Uchaguzi Mkuu 2025
Katika taarifa yake Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema bado msimamo wake uko palepale na hakitashiriki chaguzi ndogo zitakazofanyika Desemba 17, 2022 katika maeneo mbalimbali nchini. Naibu Katibu Mkuu Bara, Singo Kigaila akifafanua kuhusu chaguzi za 2024 na 2025, amesema wako kwenye...www.jamiiforums.com
“CHADEMA imekwenda mbali zaidi ikisisitiza kwenye chaguzi za 2024 na ule wa 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko ya katiba, imetishia chaguzi hizo kutofanyika.”
Narudia tena, Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Cdm wanachukua ruzuku kwakuwa ni haki yao, na wala sio kuwa uchaguzi ule ulikuwa halali. Uchaguzi wa 2020 ulikuwa ukhanithi kama ukhanithi mwingine. Nyie wenye watu shirikini, lakini cdm hawana muda huo mchafu wa kushiriki chaguzi za kishenzi.Sasa mnachogomea uchaguzi wa.madiwani nini wakati Ruzuku mnachukua za uchaguzi ulipopita mliouita haramu? Wanafiki wakubwa nyie
Semeni tu huko hamna watu wa kugombea ndio maana mnaingia mitini kwa sababu za usanii
Mungu ibariki Chadema
Hao sasa tunawajuwa, turufu yao ni vurugu za kijinga.Nimeona taarifa ya Chadema ya kukacha uchaguzi wa madiwani 14 huku wakitoa sababu za miaka ya nyuma.
kwa maoni yangu huu ni uhuni na ukinyonga wa hali ya juu ambao unaondoa kabisa credibility ya chama hiki.
nilitegemea Chaddema ilipoingia maridhiano ilijua na ilijadili maswala kadhaa muhimu...leo hii kususia uchaguzi kwa sababu za miaka ya nyuma inaonesha uhuni na kukosa ukomavu wa kisiasa.
Huyu Mrema ndio Katibu mkuu wa chama ,John Mnyika ni Boya tu anatumika kufunika uchagga uliopo ndani ya hii tasisisChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema, hawatashiriki kwenye chaguzi ndogo za madiwani katika kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzii hii leo Jumatano Juni 14, 2023.
View attachment 2657416
View attachment 2657418
Kwani hamjafurahi kupata viti vyote? Mbona povu jingi kiasi hiki. Ina maana wewe umeshajulishwa kuwa deliberations za maridhiano ni kuanza kushiriki chaguzi?Hao sasa tunawajuwa, turufu yao ni vurugu za kijinga.