CHADEMA yasema Haitashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika Kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi

CHADEMA yasema Haitashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika Kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Mbowe na Lisu wamelamba billion 2.9 za ruzuku kimyakimya alafu wanawazuia wenzao fursa ya kugombea?

Ni nyumbu tu atakayekubali huu ubinafsi.
Nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa!!!
 
Muda wa kampeni ni mdogo Sana au wewe unaona ni sawa?
Kwani huo mda unakuwaje mdo kwao, si kipyenga kitapulizwa Kwa vyama vyote kuanzaa?? Uzuriii hao hao chadema wamesharuhusiwa kufanya mikutano ya hadhara na wako wanafanya nchi nzimaa, Sasa wanaogopa Nini? Kama si kukwepa aibu ya kugaragazwaa asubuhiii
 
Chadema wanajua maeneo hayo hawana watu

Mbona ruzuku wanachukua zitokamazo na uchaguzi wa 2020 walioita haramu ? Ruzuku mbona wanachukua based kwa matokeo waliyoita haramu?

Wasanii tuu
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Chadema wanajua maeneo hayo hawana watu

Mbona ruzuku wanachukua zitokamazo na uchaguzi wa 2020 walioita haramu ? Ruzuku mbona wanachukua based kwa matokeo waliyoita haramu?

Wasanii tuu
Kwani hiyo ruzuku ni fedha za CCM? Kwa taarifa yako kutokana na ushindi waliopata CDM, hata hiyo ruzuku ni chini ya halali yao.
 
Kwani hiyo ruzuku ni fedha za CCM? Kwa taarifa yako kutokana na ushindi waliopata CDM, hata hiyo ruzuku ni chini ya halali yao.
Sasa mnachogomea uchaguzi wa.madiwani nini wakati Ruzuku mnachukua za uchaguzi ulipopita mliouita haramu? Wanafiki wakubwa nyie

Semeni tu huko hamna watu wa kugombea ndio maana mnaingia mitini kwa sababu za usanii
 
“CHADEMA imekwenda mbali zaidi ikisisitiza kwenye chaguzi za 2024 na ule wa 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko ya katiba, imetishia chaguzi hizo kutofanyika.”
 
Tatizo lao wanadeka sana. Unaweza kudhani wao ndio chama pekee cha upinzani.
Hivi mbowe ni mtoto wa ngapi kwao kuzaliwa? Kwa mujibu wa wanasaikolojia kuna uhusiani mkubwa sana kati ya uzaliwa wa mtu na tabia zake!

Hapo baadae wataanza kulalamikia viongozi waliochaguliwa!
Si mfurahi ccm mtapita bila kupingwa
 
“CHADEMA imekwenda mbali zaidi ikisisitiza kwenye chaguzi za 2024 na ule wa 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko ya katiba, imetishia chaguzi hizo kutofanyika.”
Huo ndio ukweli , kama Mmbwai na iwe Mmbwai tu !
 
Sasa mnachogomea uchaguzi wa.madiwani nini wakati Ruzuku mnachukua za uchaguzi ulipopita mliouita haramu? Wanafiki wakubwa nyie

Semeni tu huko hamna watu wa kugombea ndio maana mnaingia mitini kwa sababu za usanii
Narudia tena, Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Cdm wanachukua ruzuku kwakuwa ni haki yao, na wala sio kuwa uchaguzi ule ulikuwa halali. Uchaguzi wa 2020 ulikuwa ukhanithi kama ukhanithi mwingine. Nyie wenye watu shirikini, lakini cdm hawana muda huo mchafu wa kushiriki chaguzi za kishenzi.
 
Ningewashangaa kama wangeshiriki. SSH is all talk no action. Tume ya uchaguzi bado ni ileile ya mchongo na sheria za uchaguzi zilezile mbovu, unashiriki nini??
 
Kama kawaida yenu mmeona hamna sera za maana za kuwaeleza wananchi so mkaamua mjifiche kwenye kususia uchaguzi nyie jamaa mnavituko🙌🙌
 
Nimeona taarifa ya Chadema ya kukacha uchaguzi wa madiwani 14 huku wakitoa sababu za miaka ya nyuma.
kwa maoni yangu huu ni uhuni na ukinyonga wa hali ya juu ambao unaondoa kabisa credibility ya chama hiki.
nilitegemea Chaddema ilipoingia maridhiano ilijua na ilijadili maswala kadhaa muhimu...leo hii kususia uchaguzi kwa sababu za miaka ya nyuma inaonesha uhuni na kukosa ukomavu wa kisiasa.
 
Hao sasa tunawajuwa, turufu yao ni vurugu za kijinga.
 
Back
Top Bottom