CHADEMA yasema Haitashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika Kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Nimeona taarifa ya Chadema ya kukacha uchaguzi wa madiwani 14 huku wakitoa sababu za miaka ya nyuma.
kwa maoni yangu huu ni uhuni na ukinyonga wa hali ya juu ambao unaondoa kabisa credibility ya chama hiki.
nilitegemea Chaddema ilipoingia maridhiano ilijua na ilijadili maswala kadhaa muhimu...leo hii kususia uchaguzi kwa sababu za miaka ya nyuma inaonesha uhuni na kukosa ukomavu wa kisiasa.
Jingalao bwana. Badala ya kufurahia kuwa unaenda kuzoa viti vyote unatoa mapovu. Tangu lini ukaumizwa na Chadema kutoshiriki chaguzi?
 
Kama hawajajiandaa na hawana uhakika wa kushinda waweke wazi na sio kujificha kwenye sababu zilizopitwa na nyakati.
 
Nimeona taarifa ya Chadema ya kukacha uchaguzi wa madiwani 14 huku wakitoa sababu za miaka ya nyuma.
kwa maoni yangu huu ni uhuni na ukinyonga wa hali ya juu ambao unaondoa kabisa credibility ya chama hiki.
nilitegemea Chaddema ilipoingia maridhiano ilijua na ilijadili maswala kadhaa muhimu...leo hii kususia uchaguzi kwa sababu za miaka ya nyuma inaonesha uhuni na kukosa ukomavu wa kisiasa.
Wewe unanufaikaje na Chadema kushiriki uchaguzi hewa?
 
Kama hawajajiandaa na hawana uhakika wa kushinda waweke wazi na sio kujificha kwenye sababu zilizopitwa na nyakati.
Kabisa kama uchaguzi wa 2020 Chadema hawakujiandaa ndio maana wakapata Wabunge wa Covid 19
 
Nimeona taarifa ya Chadema ya kukacha uchaguzi wa madiwani 14 huku wakitoa sababu za miaka ya nyuma.
kwa maoni yangu huu ni uhuni na ukinyonga wa hali ya juu ambao unaondoa kabisa credibility ya chama hiki.
nilitegemea Chaddema ilipoingia maridhiano ilijua na ilijadili maswala kadhaa muhimu...leo hii kususia uchaguzi kwa sababu za miaka ya nyuma inaonesha uhuni na kukosa ukomavu wa kisiasa.

Ambayo wew ulikuwa shahidi wake
 
Hivi kweli Magufuli angekubali kusaini mikataba ya hovyo ya kuuza Bandari?
 
Nimeona taarifa ya Chadema ya kukacha uchaguzi wa madiwani 14 huku wakitoa sababu za miaka ya nyuma.
kwa maoni yangu huu ni uhuni na ukinyonga wa hali ya juu ambao unaondoa kabisa credibility ya chama hiki.
nilitegemea Chaddema ilipoingia maridhiano ilijua na ilijadili maswala kadhaa muhimu...leo hii kususia uchaguzi kwa sababu za miaka ya nyuma inaonesha uhuni na kukosa ukomavu wa kisiasa.

Daaa bora umerudi kaka[emoji13][emoji13][emoji12]
Kiukweli nilikukumbuka sana Mkuu
kwa nondo zako
 
Nasikia Maza kauza Bandari zote za Bara!
Ujinga huo.

Kwa mara ya kwanza toka uhuru tunaona mkataba ukiwekwa wazi bila mbambamba. Uliona kipengele kipi kimeongelea bandari kuuzwa?

Mama anaupiga mwingi.
 
Hakuna chama cha upizani Tanzania..kuna makampuni..Lema katulia kwenye hili swala la bandari ni ishara ya kulamba asali...wapo kimaslahi manyanga'u hawa.
.
Mbowe kaenda kutoa mlio mbali..mnafiki tu..njooni uwanjani musimame jukwaani mpinge swala la bandari
Wewe umetusaidia Nini ktk hili??
 
Nnafikiklri, sio lzm vyama vyote vishiriki. Isipokuwa vileVyenye nia ya kudumisha demokrasia ya kweli watafanya hivyo.
 
😂😂😂😅
My reaction.
Nafikiri kati ya matamshi(mantra)zote ambayo CHADEMA wamekuwa wakizitumia, mfano Never Never again, No fear no hate, au sijui ni piiipoz 'power'
😂😂 zibadilishwe au kusitishwa kabisa
..naona sasa wachague au waje na matamshi ya kiswahili na iende hivi.....'Waatu'(Watu)halafu waitikie, 'Wasusaji'
 
Ujinga huo.

Kwa mara ya kwanza toka uhuru tunaona mkataba ukiwekwa wazi bila mbambamba. Uliona kipengele kipi kimeongelea bandari kuuzwa?

Mama anaupiga mwingi.
Ni kweli kwamba mama yetu hawezi kuiongoza nchi? Mfano hili la kuuza Bandari zote isipokuwa hizi za zenj
 
Back
Top Bottom