CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

inaonekana chadema wanadhani ktk kipindi hiki chini Mhe. Rais Samia wanaweza kupenyeza ajenda zao na zikafaulu sijui!!

ni ngumu sana, labda kwanza waanze kujenga mahusiano mazuri na ushirikiano wa dhati vinginevyo watasubiria sana.

hakuna litakalo wezekana bila utii kwa mamlaka na unyenyekevu, vuruvuruu ndio inawa cost kila siku.

ndio maaana Hayati JPM aliwapotezea maaana aliamini kuwa hawana nia njema na serikali yake. chadema mkitaka kweli kuijenga nchi yetu basi onyesheni utii na ushirikiano wa kujenga nchi, acheni malumbano yasiyo na tija. sote ni watanzania tuijenge nchi yetu kwa kutanguliza uzalendo mbele.

hakuna mshindi ktk kuijenga nchi bali kuna adui asiye itakia mema nchi yetu.

nchi ni yetu sote tuijenge nchi yetu sote kwa pamoja.
 
Angalau hawatopigwa risasi au kutekwa kwa kutoa tu hoja zao. Hoja inajibiwa kwa hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…