CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa


Mkuu, punguza upotoshaji. Ibara uliyoweka hapo inahusu kukaimu nafasi ya Rais, sio madaraka ya Rais aliyepatikana kupitia moja ya mambo kma kifo. Rais Samia ni Rais na si kaimu Rais.

Kama ni uamuzi wake kubaki na timu hii, aiteue na kuiapisha. Tumalize hili na kusonga.
 
Chadema ni chama cha wachaga.

Siku hizi wameanzisha vita na kanda ya ziwa.
Propaganda mpya za kijinga mnazotaka kuanzisha sijui kama zitaingia kichwani mwa huyu mama intelijent😂😂😂😂😂😂
 
Jiulize JK na chadema ilikuaje wakaketi pamoja kwa juice za ikulu.

Awamu ya tano haikutana maelewano, ukizingua utatandikwa.
 
Bush lawyers, achana nao...
Waliwatanguliza TLS kutoa huu ujinga, walivyo ona hauna nguvu wametoa kichwa chao bila aibu tena.
 
CHADEMA wako sahihi kwa 100 pc kulingana na Katiba ya JMT.
CCM wasipoangalia wataiingiza nchi kwene mgogoro mkubwa wa Kikatiba.
Kuna wana CCM wanataka kupotosha Katiba makusudi kulinda nyadhifa walizo apa kwa Marehemu...JPM!!!!
Nchi haiwexi kuongozwa na viapo vya Rais Hayati au mwenda zake. Mama Rais Samia angalia Katiba wasije makada wako wakakuingiza choo cha kiume!!!
 
Utamaduni wa kuheshimu katiba unaanzia kwenye vyama vyetu vya siasa kwa kuheshimu katiba za vyama vyetu vya siasa.
 
Walioapa kwa JPM nj mawaziri tu? Vipi kuhusu mabalozi, wakuu wa mikoa?
 
Chadema ni chama cha wachaga.

Siku hizi wameanzisha vita na kanda ya ziwa.
Ni wazi kuwa umeshafilisika hoja. Ambae alikuwa anapenda hoja mfu kama hizo nae tangu 17/3/2021 hayupo.
Hapa TZ duniani, wamebaki wa aina yako tu.
Pole sana
 
Ni kweli katiba ifuatwe na kama samia anataka hao hao waendelee basi avunje baraza la mawaziri awateu tena wale wale na waape mbele yake...Hatuna shida na mtu sisi tuna shida na katiba maana akivunja katiba wazi wazi ni hatari.
Ni kipengele gani kwenye katiba kinasema avunje Baraza la mawaziri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…