Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama hela zipo na kwa vile katiba mpya ni muhimu basi mchakato uanze sasa , hata hivyo Chadema haikuomba kuwa mkusanya michango , bali imeomba kuhamasisha tu uchangiaji wa Kodi ya Katiba mpyaWapi imesemwa kuna mchakato mpya wa katiba?Na serikali haina hela?..
Ndo walichobaki nacho ili wasikike ,wew unadhani watafanya mini tena zaidi ya hicho ,halafu kuna mtu wanadhani katiba ndo itawaondolea kila kitu kuna nchi hata hiyo katiba hazina ila wanamaendaleo mazuri tuKauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , wakati akiongea na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa...
Nakala kwa John MnyikaNashauri Chadema muanzishe pia midaharo yakwanini katiba mpya.
Midaharo hii ifanyike mahali pa wazi kupitia vyombo vya habari.
Pia anzisheni mfuko wa akaunti ili wananchi tuchangie kwa ajili yakulipia chombo cha habari kitakacho kubali kurusha midaharo wa mambo ya chama angalau kila wiki.Chama kijengwe kidigital
Hili ni hitaji muhimu, siyo wanalazimisha. Tutaepusha kuwaonea.Wapi imesemwa kuna mchakato mpya wa katiba?Na serikali haina hela?
Why wanalazimisha kutatua tatizo ambalo halipo?....
Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , wakati akiongea na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa...
Warioba alishamaliza kazi hiyo Kikwete akaitupa jalalani.Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , wakati akiongea na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa...
Ndicho kitakachofanyikaWarioba alishamaliza kazi hiyo Kikwete akaitupa jalalani.
Wakaiokote ileile ipite. Kazi iendelee.
Katiba ya Warioba imeweka yote hayo ndani yake , mkuu hakikisha katiba mpya inapatikanaLini CHADEMA mtapigania masoko ya wakulima, ajira, barabara, maji, afya, ardhi.
Maisha ya watu yakiboreka hata uwezekano wa katiba nzuri utakuwepo maana unyonge na kuyumbishwa na wanasiasa kutapungua.
Mimi kwasasa hivi katiba wala chaguzi siyo hitaji langu wala la familia yangu.Katiba ya Warioba imeweka yote hayo ndani yake , mkuu hakikisha katiba mpya inapatikana
Chadema sio bado wako busy na sabaya?Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa .
Mh Mnyika amesema kwamba ikiwa Serikali yetu haina hela za kugharamia Mchakato huu kutokana na sababu zozote zile basi kwa kupitia CHADEMA Wananchi wako tayari kuchangia pesa taslimu , ambapo AMEIOMBA SERIKALI IANZISHE KODI MAALUM ITAKAYOITWA KODI YA KUCHANGIA KATIBA MPYA , huku akidai kwamba chama chake kiko tayari kuhamasisha Wananchi , ambao nao wameahidi kuwa tayari kuchangia
View attachment 1816688
Sabaya kwisha kaziChadema sio bado wako busy na sabaya?
Sema Iyo SHATI ya katibu na nembo yake nimeilewa ngoja niitafute iwe ndo pamba yangu ya jmosi,Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa .
Mh Mnyika amesema kwamba ikiwa Serikali yetu haina hela za kugharamia Mchakato huu kutokana na sababu zozote zile basi kwa kupitia CHADEMA Wananchi wako tayari kuchangia pesa taslimu , ambapo AMEIOMBA SERIKALI IANZISHE KODI MAALUM ITAKAYOITWA KODI YA KUCHANGIA KATIBA MPYA , huku akidai kwamba chama chake kiko tayari kuhamasisha Wananchi , ambao nao wameahidi kuwa tayari kuchangia
View attachment 1816688