dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Wewe ni MJINGA nyie ndio watoto wa marehemu mnaoamini maendeleo ni kujenga Maghorofa tu watu wapigwa risasiHawajawahi kuhamasisha maendeleo bali wanahaha na katiba wapate upenyo wa kutawala ili waibadili kama walivyompa Mbowe uenyekiti wa maisha.
Waanze na ya kwao ili tuelewe wapo serious
Wanadhulumiwa kwenu sio issue jinga kabisa