CHADEMA Yasogeza Mbele Kikao cha Baraza Kuu, Viongozi Kushiriki Kesi ya Mwenyekiti wao Lissu

Hii ndio Demokrasia ya mweusi kwake kwanza kuogopa mkate wake usimponyoke‼️ kisha ndio Demokrasia yako ❗️

Vyama vingi nisawa na mtoto njiti kwa Africa ✍️
😅😅Hata mimi naona hiyo katiba mpya , ikiwezekana demokrasia na vyama vya siasa viondolewe kabisa ...Sijui walikbaliana na nn nchi iendeshwe kwa demokrasia ,kazi kusumbua wananchi na michango kama walemavu vile.
 
Hapo tayari Heche alishanusa harufu ya kutolewa madarakani. Wanachama wengi wamechukizwa mno na ufisadi wake.
 
Yaani chama kinachojinasibu eti kimebeba matarajio ya wananchi kinaahirisha kikao muhimu eti kisa kuna tetesi watu wameongwa kuvuruga kikao? Kama mmeshajua hizo njama kwanini msiwadhibiti muendelee na kikao? Ukiona hivyo jamaa kanusa akiendelea na kikao atatolewa kwa sababu ya tuhuma kaona akwepeshe. Tutafuteni fursaza za kujiingizia kipato tutaacha huu ujinga wa kuwa misukule ya waganga njaa kwa mgongo wa siasa.

Na inaonekana hata nyie mmelipwa ili mje kutetea kuhairishwa kwa kikao bila sababu ya msingi
Wanataka kupitisha bakuli ,hapo wameshalipana posho..Wanalalamika serikali kununua magari ya viongozi ,waone wao kama kuna aliyekuja na bodaboda ,Makamu ana mpaka dereva wake na analipwa ,ushamba tu hao jamaa .
 
Hicho kikao ww kilikuwa kinakuhusu? Kwanini uumie kwa jambo lisilokuhusu? Suala la mikutano kuharibiwa sio mara moja au 2. Kwanini wasichukue tahadhari? Sisi ndio tumechanga na tumeona ni sawa, ww pilipili ya shamba inakuwashia nini?
 
Wanaanzisha kitu wanakusanya michango ukifika muda wa utekelezaji wanatafuta kisingizio halafu wao wanawatukana viongozi wa Serikali kwamba hawawajibiki. Nchi hii tunalea na kushabikia ujinga mwingi
 
Hicho kikao ww kilikuwa kinakuhusu? Kwanini uumie kwa jambo lisilokuhusu? Suala la mikutano kuharibiwa sio mara moja au 2. Kwanini wasichukue tahadhari? Sisi ndio tumechanga na tumeona ni sawa, ww pilipili ya shamba inakuwashia nini?
Kwa sababu mlikusanya hela kwa wananchi ili kufanya kikao. Nyie wenyewe mliona ni kikao muhimu mkawaomba wanachi wachangie. Acheni janja janja fanyeni kikao visingizio vya ajabu havitakiwi.
Ukweli ambao hamuutaki ni kwamba makamu kashtuka kwamba hana nguvu kwenye chama na wajanja watamuweka pembeni kaamua kuweka mpira kwapani kuogopa kupokwa kitumbua.
 
😅😅Hata mimi naona hiyo katika mpya , ikiwezekana demokrasia na vyama vya siasa viondolewe kabisa ...Sijui walikbaliana na nn nchi iendeshwe kwa demokrasia ,kazi kusumbua wananchi na michango kama walemavu vile.
Jizi na lipenda rushwa linachangia bila aibu
 
😂😂Asante.
Ni kweli kabisa, mimi na wewe wote ni maskini. Shida mwenzangu umaskini umekufanya utetee ujinga ili uishi
Hongera kwa mafanikio ila punguza hasira kifuani mwako maana katika hili linalo kutesa halikuletei kipato halali.
Mimi ni maskini kweli,nipo nateseka na kilimo huku kijijini.
Karibu sana
 
Anzisha chama chako kifanye kwa matakwa ya wengine. Kama mlishahonga wa kwenda kuleta za kuletwa kwenye mkutano wa cdm, basi muwawahi kabla hawajala hizo hela, kinyume na hapo mtakua mmekalia panga.
Huyo amehongwa Sasa anaona deal limevurugika anaweza ambiwa arudishe pesa
 
Kwa sababu mlikusanya hela kwa wananchi ili kufanya kikao. Nyie wenyewe mliona ni kikao muhimu mkawaomba wanachi wachangie. Acheni janja janja fanyeni kikao visingizio vya ajabu havitakiwi.
Ukweli ambao hamuutaki ni kwamba makamu kashtuka kwamba hana nguvu kwenye chama na wajanja watamuweka pembeni kaamua kuweka mpira kwapani kuogopa kupokwa kitumbua.
Wamehairisha kikao na wametoa na sababu kwanini wamehairisha. Sasa kelele za Nini?
 
😅😅Hata mimi naona hiyo katika mpya , ikiwezekana demokrasia na vyama vya siasa viondolewe kabisa ...Sijui walikbaliana na nn nchi iendeshwe kwa demokrasia ,kazi kusumbua wananchi na michango kama walemavu vile.
Sawa Sheikh Mwaipopo.
 
Sasa zile Pesa wametupea tukamtukane heche na kufanya fujo kwa miting yao ya balaza kubwa imefinish Sasa niaje jo, watatupea zingine ?
 
Back
Top Bottom