econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Wewe ndio mshamba wa wawa shamba. Unafananisha chama cha siasa kisicho na ruzuku na serikali? Mipango yenu imeshyukiwa. Karni huko na shetani wenu SamiahWanataka kupitisha bakuli ,hapo wameshalipana posho..Wanalalamika serikali kununua magari ya viongozi ,waone wao kama kuna aliyekuja na bodaboda ,Makamu ana mpaka dereva wake na analipwa ,ushamba tu hao jamaa .