CHADEMA yasusia Uchaguzi Wabunge wa EALA

Mbunge Aida Kenani yupo bungeni kwa uchaguzi ule wa 2020. Logically haipo sawa kutoa sababu ya uchaguzi wa 2020 kama kigezo cha kususia uchaguzi wa wabunge wa EALA

Afterall, wabunge wa CCM kamwe hawatamchagua mgombea kutoka CHADEMA. So, uamuzi wa kususia ni mzuri tu maana uwaokolea fedha na muda ambao wangeupoteza kufanya kampeni. Na hii ndio sababu halisi ya kususia

Mkuu umewahi kuona kiongozi au mfuasi yoyote wa CDM kuunga mkono uwepo wa huyo Aida Kenani kuwepo bungeni? Huyo aliambiwa msimamo wa chama akalazimisha kuwepo kwenye hilo bunge. Chama kilichofanya ni kumpuuza.

Hakuna mbunge wa CDM amewahi kwenda kwenye hilo bunge akitegemea kupata kura za wanaccm. Wamesusia kwasababu uchaguzi wa 2020 ulikuwa ni wa kihayawani. Lakini hakuna anayepinga mtazamo wako.
 
Mtu anayekwenda kinyume na maamuzi ya chama huwa anapuuzwa? Ni mtizamo wako though.
 
Kwa nchi yetu ilivyo, usishangae ukasikia kuna mtu karejesha fomu yenye Saini ya Mnyika wakati hakuna mahali chama kimetoa fomu!!

Haya mambo yanatia hasira sana, inabidi ifike hatua hata Mbowe aajiri snipers Ili tuheshimiane kidogo.
Hayo unayasema wewe!
Nyie endeleeni kususa mpaka mtakapojitambua itakuwa mmezeeka pia!
 
Alafu utawasikia kina Zitto wametanguliza matumbo mbele ,wanasema Ngogwe na Cuf ni vyama vya wapinzani.
Kwa nini uwachagulie la kufanya wakati sio chama chako.
 
Kama huo ndio ujinga wa Lisu, tunahitaji wajinga wengi wa aina ya Lisu. CDM hawana Muda wa kushiriki siasa za kishenzi.
Siasa mnazotaka CCM hata mbinguni hazipo
 
Kwa nchi yetu ilivyo, usishangae ukasikia kuna mtu karejesha fomu yenye Saini ya Mnyika wakati hakuna mahali chama kimetoa fomu!!

Haya mambo yanatia hasira sana, inabidi ifike hatua hata Mbowe aajiri snipers Ili tuheshimiane kidogo.
Hilo kwa sasa linaweza lisifanyike, ila kama angekuwepo magufuli huenda lingetokea jambo kama hilo....!
 
CCM wachague kati ya wale wanasesere wao 19 kule bungeni wawaweke hao.
 
Taarifa hizi ziwafikiwe wadau wetu wa kanda hii ya Afrika Mashariki kuwa Tanzania kisiasa kuna mushkeli mkubwa unaohitaji njia nyingi mbadala kuisitua serikali ya mfumo wa utawala wa chama kimoja uliofanikishwa ktk uchafuzi wa uchaguzi usio huru wala haki ulioasisiwa na mchakato mzima wa kuwanyima nafasi ya vyama vingine kushiriki jatika demokrasia.
Watanzania na jeshi letu tungejifunza huyu mtu Jerry Rawlings wa Ghana alipokuwa kijana afisa mdogo wa jeshi alifanya nini kwa nchi yake hadi kuifanya leo iwe yenye demokrasia imara lazima tungeshika mwenendo mpya kijasiri.
Lakini tumelala na maafisa wetu wamegeuka uvccm.
Screenshot_20220906-055920_Google.jpg
 
Lissu ana roho mbaya sana, kwa kuwa yeye hana cheo chochote, anafanya juu chini na wenzake wakose, hata kesi ya akina mdee ni yeye ndio anashinikiza ili wakose ubunge, kwenye bunge la Afrika mashariki pia amezuia ili wakose wote
Tuliza kalio Chini kinembe wewe
 
Msusie msisusie, mfoke msifoke, mlie msilie, mnune msinue, mbweke msibweke, haiwasaidii kitu maana kuvuja kwa pakacha ni nafuu ya mchukuzi. Wabunge watapatikana tuu hata wote wakitoka CCM. Nyinyi mtabaki kufoka tu wenzenu wanacheka na nyavu! Kama baadhi ya vyama vimeshakubali kushiriki, CHADOMO ni mdudu gani mbele ya umma wa kitanzania! Leo watasema hawashiriki, kesho utashangaa wanakinga bakuli la njaa ya ruzuku! Hawa ni njaa tupu sasa hivi, hawana mbele wala nyuma wala kushoto wala kulia!
Unaweza kukuta wewe hata kidato cha nne umefika. Lakini haya mawazo ni chini ya kiwango cha elimu ya ngumbaru
 
Msusie msisusie, mfoke msifoke, mlie msilie, mnune msinue, mbweke msibweke, haiwasaidii kitu maana kuvuja kwa pakacha ni nafuu ya mchukuzi. Wabunge watapatikana tuu hata wote wakitoka CCM. Nyinyi mtabaki kufoka tu wenzenu wanacheka na nyavu! Kama baadhi ya vyama vimeshakubali kushiriki, CHADOMO ni mdudu gani mbele ya umma wa kitanzania! Leo watasema hawashiriki, kesho utashangaa wanakinga bakuli la njaa ya ruzuku! Hawa ni njaa tupu sasa hivi, hawana mbele wala nyuma wala kushoto wala kulia!
Wewe **** chadema haijapokea luzuku Kwa miaka miwili sasa ,wtf are you talking about ?
Na tozo na ugumu WA maisha zikiwafira msiwe mnawalaumu chadema **** kweli
 
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho hakitashiriki uchaguzi wa kuwapata wabunge watakaoiwakilisha Tanzania kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashiriki (Eala).

Uchaguzi huo utafanyika katika mkutano wa Bunge la Tanzania utakaoanza Septemba 13, 2022 jijini Dodoma.

Mnyika amesema vikao vya Chadema bado havijajadili msimamo wake kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambao walisema matokeo yake hawayatambui.

Katibu Mkuu huyo ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Septemba 5, 2022 wakati akizungumza na Mwananchi Digital, kuhusu ushiriki wa wao Eala baada ya vyama vya ACT - Wazalendo na CUF kukamilisha mchakato wa uteuzi wa majina ya wagombea wao watakaowakilisha vyama hivyo katika uchaguzi huo.

Wakati ACT-Wazalendo na CUF vikiteua wagombea wao leo Jumatatu CCM inamalizia mchakato wa uhakiki wa majina ya wagombea wao waliowasilisha vielelezo na sifa za kuwania ubunge wa Eala.

“Hatutashiriki, vikao vya chama havijabadili bado msimamo wetu kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Tunasisitiza kuharakishwa kwa mchakato wa kupata KatibaMpya, Tume Huru ya Uchaguzi.

“Pia kushughulikia wa athari na madhara yaliyotokana na uchaguzi mkuu wa 2020. Ni vema dhamira ya kufungua ukurasa mpya kuonyeshwa kwa haraka kwa masuala yenye kuhitaji utekelezaji wa Katiba na sheria mfano haki ya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara,” amesema Mnyika.

Mbali na hilo, Septemba 14, mwaka 2021 Chadema kilisusia uchaguzi mdogo wa marudio wa jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga, kikisisitiza hakitashiriki mchakato wowote hadi Tume Huru ya uchaguzi itakapopatikana.

Pia Chadema kilisusia kikao cha ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa na wadau wa demokrasia uliofanyika jijini Dodoma na kufunguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
MwanaCCM yeyote mwenye akili lazima aumie na hii move. Tunahitaji kuona mambo yanakwenda vyema kwa mapatano na amani.

Iwapo bado kuna grievances maana yake kama Taifa hatupo sawa. Tusikubali kumuacha Mtanzania yeyote nyuma.
 
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho hakitashiriki uchaguzi wa kuwapata wabunge watakaoiwakilisha Tanzania kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashiriki (Eala).

Uchaguzi huo utafanyika katika mkutano wa Bunge la Tanzania utakaoanza Septemba 13, 2022 jijini Dodoma.

Mnyika amesema vikao vya Chadema bado havijajadili msimamo wake kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambao walisema matokeo yake hawayatambui.

Katibu Mkuu huyo ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Septemba 5, 2022 wakati akizungumza na Mwananchi Digital, kuhusu ushiriki wa wao Eala baada ya vyama vya ACT - Wazalendo na CUF kukamilisha mchakato wa uteuzi wa majina ya wagombea wao watakaowakilisha vyama hivyo katika uchaguzi huo.

Wakati ACT-Wazalendo na CUF vikiteua wagombea wao leo Jumatatu CCM inamalizia mchakato wa uhakiki wa majina ya wagombea wao waliowasilisha vielelezo na sifa za kuwania ubunge wa Eala.

“Hatutashiriki, vikao vya chama havijabadili bado msimamo wetu kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Tunasisitiza kuharakishwa kwa mchakato wa kupata KatibaMpya, Tume Huru ya Uchaguzi.

“Pia kushughulikia wa athari na madhara yaliyotokana na uchaguzi mkuu wa 2020. Ni vema dhamira ya kufungua ukurasa mpya kuonyeshwa kwa haraka kwa masuala yenye kuhitaji utekelezaji wa Katiba na sheria mfano haki ya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara,” amesema Mnyika.

Mbali na hilo, Septemba 14, mwaka 2021 Chadema kilisusia uchaguzi mdogo wa marudio wa jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga, kikisisitiza hakitashiriki mchakato wowote hadi Tume Huru ya uchaguzi itakapopatikana.

Pia Chadema kilisusia kikao cha ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa na wadau wa demokrasia uliofanyika jijini Dodoma na kufunguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
P
 
Back
Top Bottom