Uchaguzi 2020 CHADEMA yatangaza kusudio la kuweka Mgombea Urais wa Zanzibar

Chadema wajinga CUF iliamua kuungana na chadema sababu CUF walikuwa na nguvu Sana Zanzibar lakini Tanzania bara hawakuwa ma nguvu wakasacrifice Duni Haji ajiunge chadema ili chadema iwe na nguvu Zanzibar na CUf iwe na nguvu bara

Matokeo Baada ya chadema kupata wabunge wengi kikaota ndevu na kuanza dharau kwa waliowafikisha Hapo walipo akiwemo Lowasa na Seif na Duni Haji hawakujua kuwa muungano wa Lowasa na Seif sharriff Hamd ukikuwa muungano wa the CCM frustrated people .Seif alitimuliwa CCM Na Lowasa akapigwa chimi CCM kugombea uraisi mmoja akawa Chadema Lowasa the fristrated akaungana na the frustrated mwingine wa CUF maslim.Seif kuunga alliance ya kuipiga chini CCM ambayo wanahisi iliwafrustarate ndoto zao hewa wakitumia UKAWA Kama fimbo!!!

Kilichotokea walikuwa fustrated more kupindukia kwenye uchaguzi mkuu na ndani ya vyama walivyokuwa vya CUF na Chadema!!
Seif na Duni Haji na wafuasi wao wakatimka alliance ya chadema na kukimbilia ACT wazalendo kwa Zitto Kabwe ambaye alitimuliwa na chadema !!!

Sahau ACT wazalendo kuungana na chadema sababu wore mliwaumiza Chadema kuanzia Zitto Kabwe ,Duni Haji no pambaneni na hali zenu . Chadema Wana short sighted leaders !!! Safari hii mtatupwa nje.Nobody wants to join you matapeli nyie wa kisiasa
Hasara waliyoipata wazazi wako haipimiki ! kuna haja ya sheria ya kutoa mimba kuhalalishwa nchini Tanzania .
 
  • Thanks
Reactions: PNC
NI VIZURI WANGEUNGANA NA ACT ILI KUWA NGUVU MOJA
Hiyo ni hatua ya pili. Kwanza kila chama kinatangaza uwezo wake kisha wanaungana.
Hii ni tofauti na TLP eti inamtangaza mgombea was CCM kuwa mgombea wao wakati CCM wenyewe hawajamtangaza. Watu wazima wapumbaf ndio hao.
 
Chadema wajinga CUF iliamua kuungana na chadema sababu CUF walikuwa na nguvu Sana Zanzibar lakini Tanzania bara hawakuwa ma nguvu wakasacrifice Duni Haji ajiunge chadema ili chadema iwe na nguvu Zanzibar na CUf iwe na nguvu bara

Matokeo Baada ya chadema kupata wabunge wengi kikaota ndevu na kuanza dharau kwa waliowafikisha Hapo walipo akiwemo Lowasa na Seif na Duni Haji hawakujua kuwa muungano wa Lowasa na Seif sharriff Hamd ukikuwa muungano wa the CCM frustrated people .Seif alitimuliwa CCM Na Lowasa akapigwa chimi CCM kugombea uraisi mmoja akawa Chadema Lowasa the fristrated akaungana na the frustrated mwingine wa CUF maslim.Seif kuunga alliance ya kuipiga chini CCM ambayo wanahisi iliwafrustarate ndoto zao hewa wakitumia UKAWA Kama fimbo!!!

Kilichotokea walikuwa fustrated more kupindukia kwenye uchaguzi mkuu na ndani ya vyama walivyokuwa vya CUF na Chadema!!
Seif na Duni Haji na wafuasi wao wakatimka alliance ya chadema na kukimbilia ACT wazalendo kwa Zitto Kabwe ambaye alitimuliwa na chadema !!!

Sahau ACT wazalendo kuungana na chadema sababu wote mliwaumiza Chadema kuanzia Zitto Kabwe ,Duni Haji nk pambaneni na hali zenu . Chadema Wana short sighted leaders !!! Safari hii mtatupwa nje.Nobody wants to join you matapeli nyie wa kisiasa
Ufaanza uanze kufundisha modules za majungu hapo lumumba.
 
Mtapata kura moja tu. Ya huyo mgombea peke yake. Acheni wivu. Muungeni mkono maalim Seif.
 
Hasara waliyoipata wazazi wako haipimiki ! kuna haja ya sheria ya kutoa mimba kuhalalishwa nchini Tanzania .
Safari hii chadema hampati alliance ya vyama vingine mtakoma kuungana Ni Jambo moja na ku maintain muungano Ni Jambo lingine ninyi ujuaji wenu ulikuwa ku form alliance ya UKAWA lakini how to maintain it muko zero!!!

CCM political engineers wetu hawakupanick kwa ule muungano wa UKAWA panick Yao ilikuwa kwenye sustainability kuwa UKAWA Kama utakuwa sustainable CCM lazima ifungishwe virago!!!

Political Engineers wa CCM Waka engineer how to destroy that tower of Babel.Wakabuni.mbinu za kuvunja mnara wa Babeli wa UKAWA wa kuiangusha CCM na umemefanikiwa chadema mnalialia kutafuta alliance muipate wapi wajinga nyie? si mlikuwa na UKAWA Political Engineers wa CCM wameshamaliza kazi mission accomplished tower of Babel UKAWA has been destroyed we are going on mission part one that was just an introduction to election book.More to come . Opposition parties stay tuned

We are proud of our CCM political engineers.
 
kitu pekee ambacho ccm imefanikiwa ni kuleta muswada wa kumuokoa Ndugai na Kifungo , hata hivyo tutahakikisha anafungwa
 
Wasisahau kuwa sas hivi tume ipo chini ya TISS- uvccm ambao wote ni chato die hard. Mwaka huu atakayetoboa ujue ni kidume. Magu atakuwa anagaw majimbo kama karanga. Na wakishajazana bungeni watakuambia chaguo la Mungu libadilishiwe katiba.
99% ushindi
Trust me

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
kitu pekee ambacho ccm imefanikiwa ni kuleta muswada wa kumuokoa Ndugai na Kifungo , hata hivyo tutahakikisha anafungwa
Ndugai anahusikaje na uchaguzi mkuu wa kuwapiga chini chadema?
 
Wasisahau kuwa sas hivi tume ipo chini ya TISS- uvccm ambao wote ni chato die hard. Mwaka huu atakayetoboa ujue ni kidume. Magu atakuwa anagaw majimbo kama karanga. Na wakishajazana bungeni watakuambia chaguo la Mungu libadilishiwe katiba.
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Ha ha ha chadema Zanzibar kina mwanachama mmoja tu tapeli salum Mwalimu mkazi wa kinondoni dar es salaam naibu katibu mkuu chadema Zanzibar mkazi wa kinondoni Dar es Salaam aliyewahi gombea ubunge Kinondoni Dar es Salaam
Chadema hawajawahi kuwa serious
 
kitu pekee ambacho ccm imefanikiwa ni kuleta muswada wa kumuokoa Ndugai na Kifungo , hata hivyo tutahakikisha anafungwa
Mumeshindwa ku.maintain muungano wa UKAWA chadema wajinga nyie Kwa nini muanzishe mradi ambao hauko sustainable? UKAWA ulikuwa tishio kwa CCM Mimi CCM kindaki ndaki I feel sorry for you, you don't have project sustainability experts CCM tunao kibao
 
Back
Top Bottom