Uchaguzi 2020 CHADEMA yatangaza kusudio la kuweka Mgombea Urais wa Zanzibar

Ikibidi waweke wagombea Tanzania nzima.
 
Kwa taarifa hii hapa, CHADEMA wasafishe nyumba yao mapema kabla hata ya kuteua wagombea kwa sababu wakati wa kampeni nguvu kubwa itapaswa kutumika kumsafisha Mbowe, M/Kiti wa chama, ambaye ndiye hubeba sura ya chama.

Hatuhitaji kumsafisha mtu msafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…