Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Tangazo hilo kabambe linaongeza siku za Mashujaa za Tanzania kutoka Moja na Kuwa Mbili limetolewa na Wananchi Wote wa Tanzania kupitia kwa Msemaji wao John Heche, Ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
Septemba 7 ndio siku ambayo Viongozi Wajinga na Waoga waliagiza Tundu Lissu Auawe, baada ya kushindwa kujibu hoja zake za Majukwaani
Naunga Mkono Jambo hili na Kwangu Mimi hii ndio Siku ya Mashujaa nitakayoisherehekea na nitakwenda Dodoma kuweka Ngao na Mkuki kwenye eneo aliloshambuliwa Shujaa Lissu