Nyumbu shida sana!Kwani uchaguzi upo. Nadhani tuna kupiga kura sidhani kama ni uchaguzi
Nyumbu shida sana!Kwani uchaguzi upo. Nadhani tuna kupiga kura sidhani kama ni uchaguzi
Usilie, mambo bado, hata Siku ya Uhuru Iko mbioni kubadilishwaHii dunia vituko havitaisha. Sasa CHADEMA wana mashujaa gani? Yaani mtu akifa au akipotea kwa uzembe wake mradi kavaa makaki ni shujaa
Una maana gani mkuu,? Fafanua mapema kauli yako, ni muhimu kwa kufanya reference baadaeHakutakuwa na Uchaguzi
Ndoto zingine usipokuwa careful unaweza kunya kitandaniUsilie, mambo bado, hata Siku ya Uhuru Iko mbioni kubadilishwa
Kwa Taarifa zaidi usiondoke JF
Chid anakusalimiaHii dunia vituko havitaisha. Sasa CHADEMA wana mashujaa gani? Yaani mtu akifa au akipotea kwa uzembe wake mradi kavaa makaki ni shujaa
Miongoni mwa wachangiaji huyu hapaTone tone ya CCM imeendaje leo?
Sema limetolewa na wanachama wote wa chadena.limetolewa na Wananchi Wote wa Tanzania kupitia kwa Msemaji wao John Heche, Ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEM
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidiNdoto zingine usipokuwa careful unaweza kunya kitandani
Hilo ni lako wewe, lakini sisi la kwetu ni la Wananchi woteSema limetolewa na wanachama wote wa chadena.
Watapiga Polisi tuKwani uchaguzi upo. Nadhani tuna kupiga kura sidhani kama ni uchaguzi
Hili ni la Chadema, Heche sio msemaji wa Watanzania.Hilo ni lako wewe, lakini sisi la kwetu ni la Wananchi wote
Kama hutaki unaachaHili ni la Chadema, Heche sio msemaji wa Watanzania.
Alifungwa na Magu, Samia akamtoa na fidia juu, hi nchi kweli imeoza, itahitaji total overhaul.
😆😆😆😆
HapanaMkipewa nchi mtajaza sikukuu zisizo na mbele wala nyuma
Hakuna atakayeenda kupiga kuraUna maana gani mkuu,? Fafanua mapema kauli yako, ni muhimu kwa kufanya reference baadae