Siku ya kupata walemavu wapya wa viungo
Ewe njiwa:
Habari ndiyo hiyo!
Siku ya kupata walemavu wapya wa viungo
Angechagua tarehe aliyouawa Mawazo. Memorial Day ni mahususi kwa waliopoteza maisha wakipigania nchi.Tangazo hilo kabambe linaongeza siku za Mashujaa za Tanzania kutoka Moja na Kuwa Mbili limetolewa na Wananchi Wote wa Tanzania kupitia kwa Msemaji wao John Heche, Ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
View attachment 3439389
Septemba 7 ndio siku ambayo Viongozi Wajinga na Waoga waliagiza Tundu Lissu Auawe, baada ya kushindwa kujibu hoja zake za Majukwaani
Naunga Mkono Jambo hili na Kwangu Mimi hii ndio Siku ya Mashujaa nitakayoisherehekea na nitakwenda Dodoma kuweka Ngao na Mkuki kwenye eneo aliloshambuliwa Shujaa Lissu
Hata Lissu aliuawa akafufuliwa na MunguAngechagua tarehe aliyouawa Mawazo. Memorial Day ni mahususi kwa waliopoteza maisha wakipigania nchi.
Siku 9 maana yake inaisha ijumaa?Tumaanza novena ijumaa karbu sana hapa st Joseph cathedral
Naaam!!Siku 9 maana yake inaisha ijumaa?
naona wengi hawajaamini. Mwafrika haamini hadi aone. kichwa ngumu sana mtu mweusiHakutakuwa na Uchaguzi
Hawataamini watakachokionanaona wengi hawajaamini. Mwafrika haamini hadi aone. kichwa ngumu sana mtu mweusi