Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nchi nzima tutapata Mapumziko?Tangazo hilo kabambe linaongeza siku za Mashujaa za Tanzania kutoka Moja na Kuwa Mbili limetolewa na Wananchi Wote wa Tanzania kupitia kwa Msemaji wao John Heche, Ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
View attachment 3439389
Septemba 7 ndio siku ambayo Viongozi Wajinga na Waoga waliagiza Tundu Lissu Auawe, baada ya kushindwa kujibu hoja zake za Majukwaani
Chadema masalia sio 🐒Tangazo hilo kabambe linaongeza siku za Mashujaa za Tanzania kutoka Moja na Kuwa Mbili limetolewa na Wananchi Wote wa Tanzania kupitia kwa Msemaji wao John Heche, Ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
View attachment 3439389
Septemba 7 ndio siku ambayo Viongozi Wajinga na Waoga waliagiza Tundu Lissu Auawe, baada ya kushindwa kujibu hoja zake za Majukwaani
Hopeless kabisa!Tangazo hilo kabambe linaongeza siku za Mashujaa za Tanzania kutoka Moja na Kuwa Mbili limetolewa na Wananchi Wote wa Tanzania kupitia kwa Msemaji wao John Heche, Ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
View attachment 3439389
Septemba 7 ndio siku ambayo Viongozi Wajinga na Waoga waliagiza Tundu Lissu Auawe, baada ya kushindwa kujibu hoja zake za Majukwaani
Naunga Mkono Jambo hili na Kwangu Mimi hii ndio Siku ya Mashujaa nitakayoisherehekea na nitakwenda Dodoma kuweka Ngao na Mkuki kwenye eneo aliloshambuliwa Shujaa Lissu
Karibu sanaHopeless kabisa!
Bila shaka yoyoteNchi nzima tutapata Mapumziko?
Tunasubiri mzuie uchaguzi tarehe 29 Octoba 2025.Karibu sana
Nyumbu katika ubora wake!Bila shaka yoyote
Hakutakuwa na UchaguziTunasubiri mzuie uchaguzi tarehe 29 Octoba 2025.
Hii dunia vituko havitaisha. Sasa CHADEMA wana mashujaa gani? Yaani mtu akifa au akipotea kwa uzembe wake mradi kavaa makaki ni shujaaTangazo hilo kabambe linaongeza siku za Mashujaa za Tanzania kutoka Moja na Kuwa Mbili limetolewa na Wananchi Wote wa Tanzania kupitia kwa Msemaji wao John Heche, Ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
View attachment 3439389
Septemba 7 ndio siku ambayo Viongozi Wajinga na Waoga waliagiza Tundu Lissu Auawe, baada ya kushindwa kujibu hoja zake za Majukwaani
Naunga Mkono Jambo hili na Kwangu Mimi hii ndio Siku ya Mashujaa nitakayoisherehekea na nitakwenda Dodoma kuweka Ngao na Mkuki kwenye eneo aliloshambuliwa Shujaa Lissu
Tumaanza novena ijumaa karbu sana hapa st Joseph cathedralChadema masalia sio 🐒
Natamani nikuone mbele siku hiyo!!Hakutakuwa na Uchaguzi
Matusi na Uchawi ndio nguzo ya kapuku, Baiskeli na Kofia za Bure zishawatokea puani, mnatakiwa kulipa Bil 100.Nyumbu katika ubora wake!
Tone tone ya CCM imeendaje leo?Hii dunia vituko havitaisha. Sasa CHADEMA wana mashujaa gani? Yaani mtu akifa au akipotea kwa uzembe wake mradi kavaa makaki ni shujaa
Tutatoa hakuna shida na pesa lazima tuchangie chama chetu. Vipi Tone Tone imepotelea wapi au imeenda na Lema Canada.Matusi na Uchawi ndio nguzo ya kapuku, Baiskeli na Kofia za Bure zishawatokea puani, mnatakiwa kulipa Bil 100.
Hakuna cha Bure!
Kwani uchaguzi upo. Nadhani tuna kupiga kura sidhani kama ni uchaguziTunasubiri mzuie uchaguzi tarehe 29 Octoba 2025.