CHADEMA yatangaza Septemba 7 kuwa siku ya Mashujaa nchini

Hii dunia vituko havitaisha. Sasa CHADEMA wana mashujaa gani? Yaani mtu akifa au akipotea kwa uzembe wake mradi kavaa makaki ni shujaa
Usilie, mambo bado, hata Siku ya Uhuru Iko mbioni kubadilishwa

Kwa Taarifa zaidi usiondoke JF
 
Mkipewa nchi mtajaza sikukuu zisizo na mbele wala nyuma
 
Ungeniambia Siku aliyokufa chacha Wangwe labda kwa mbali ningekuelewa otherwise mnafanya uchuro kwa lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…