CHADEMA yatangaza Septemba 7 kuwa siku ya Mashujaa nchini

Siku ya mashujaa tunayowafundsha wanafunz shuleni ni trh 25 Julai.
 
Mwambieni Mkuu mgomo wa mlo ni njia mbadala kwa sasa.
 
Hilo ni jambo jema katika kuweka historia kwa watu waliodhurika kwa kupigania haki za watanzania katika kipindi ambacho hatukutegemea mtu angepata madhara kwa sababu kama hiyo. Pia itaamsha hari ya vijana wa tanzania kusimama na kidai haki.
 
Huko ni kukosa hoja
 
Siku ya kupata walemavu wapya wa viungo
 
Naunga Mkono Jambo hili na Kwangu Mimi hii ndio Siku ya Mashujaa nitakayoisherehekea na nitakwenda Dodoma kuweka Ngao na Mkuki kwenye eneo aliloshambuliwa Shujaa Lissu💪🏿✌🏿✌🏿✌🏿
 
Mtu mwenye akili timamu unaweza kumsikiliza Eche kwenye siasa kweli? Mimi naweza kumsikiliza tu kwenye issue za odds za kibabe.
 

Panga, pangua:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…