CHADEMA yaweka pingamizi dhidi ya akina Mdee kuendelea kuwa wabunge wakati kesi ya msingi ikiendelea

CHADEMA yaweka pingamizi dhidi ya akina Mdee kuendelea kuwa wabunge wakati kesi ya msingi ikiendelea

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge.

Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
 
Wastage of time, huu muda ungetumika kukazia muelekeo wa katiba mpya badala ya kupambana na mambo ambayo hayana tija.

Kinachotafutwa hapo ni kilaupande umkomoe mwenzake ikiwezekana, yani kuonyeshana ubabe, ubabe ambao hauna maslahi yoyote kwa taifa.
 
Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge. Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
Hii kauli ya mawakili wasomi inasaundi vema kwa watu wenye akili na kutafakali kwa kina. Sio wale waliokimbilia kwenda kulinda ubunge wao wakati hawakidhi sifa za kuwa wabunge
 
Hili jambo kwa sasa inabidi tulifanye kuwa ziada tuu, kwa sababu sarakasi zake zina onekana zitachukua muda kuisha

Mpango mzima ni hawa covid 19 waendelee kuwepo Bungeni hadi 2025, baada ya Bunge kuvunjwa wataenda ACT Wazalendo. Sioni nia njema katika hiki kinaitwa maridhiano, CCM wanawachezea Chadema karata tatu.
 
Naona CHEDEMA wameamua kukubali kupotezewa muda na CCM, wenzao wanafurahia ujinga, sasa kama Chadema wakiamua kukomalia ujinga, nao watakuja kuonekana wajinga, it's a matter of time.
 
Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge.

Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
Point sn
 
Mpango mzima ni hawa covid 19 waendelee kuwepo Bungeni hadi 2025, baada ya Bunge kuvunjwa wataenda ACT Wazalendo. Sioni nia njema katika hiki kinaitwa maridhiano, CCM wanawachezea Chadema karata tatu.
Na hiyo ndio hali halisi !!!
 
Mahakama haiwezi kuamua kufukuzwa ubunge au wasifukuzwe.tulia ndo mwenye maamuzi hayo.
Ila kabla ya kufukuzwa ubunge tujiulize waliingiaje bungeni na kwa utaratibu upi?
Wakiachwa waendelee itajenga precedence kwa wengine, acha mahakama iamue kuweka rekodi sawa.
 
John Mrema anamuwekea pingamizi mke wake, acheni usanii wa kitoto,
😀😀😀 Salim mwalimu anamuwekea pingamizi mchuchu wake.

Ifike wakati chadema waachane na huu upuuzi wa maccm
 
Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge.

Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
They must go...!
 
Back
Top Bottom