Hii kauli ya mawakili wasomi inasaundi vema kwa watu wenye akili na kutafakali kwa kina. Sio wale waliokimbilia kwenda kulinda ubunge wao wakati hawakidhi sifa za kuwa wabungeKesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge. Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
Hili jambo kwa sasa inabidi tulifanye kuwa ziada tuu, kwa sababu sarakasi zake zina onekana zitachukua muda kuisha
Unataka wafanyeje?Naona Chadema wameamua kukubali kupotezewa muda na CCM, wenzao wanafurahia ujinga, sasa kama Chadema wakiamua kukomalia ujinga, nao watakuja kuonekana wajinga, it's a matter of time.
Wawaache CCM wawatumie hao wanawake wanavyotaka, naona wameshaamua kutumika.Unataka wafanyeje?
Point snKesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge.
Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
Huo ni ukweli tupuWawaache CCM wawatumie hao wanawake wanavyotaka, naona wameshaamua kutumika.
Wakiachwa waendelee itajenga precedence kwa wengine, acha mahakama iamue kuweka rekodi sawa.Wawaache CCM wawatumie hao wanawake wanavyotaka, naona wameshaamua kutumika.
Precedence za mahakama hazina maana chini ya utawala wa CCM.Wakiachwa waendelee itajenga precedence kwa wengine, acha mahakama iamue kuweka rekodi sawa.
Na hiyo ndio hali halisi !!!Mpango mzima ni hawa covid 19 waendelee kuwepo Bungeni hadi 2025, baada ya Bunge kuvunjwa wataenda ACT Wazalendo. Sioni nia njema katika hiki kinaitwa maridhiano, CCM wanawachezea Chadema karata tatu.
No. Not to the detriment of the party. Chadema are sailing in the right course.Wawaache CCM wawatumie hao wanawake wanavyotaka, naona wameshaamua kutumika.
Wakiachwa waendelee itajenga precedence kwa wengine, acha mahakama iamue kuweka rekodi sawa.
πππ Salim mwalimu anamuwekea pingamizi mchuchu wake.John Mrema anamuwekea pingamizi mke wake, acheni usanii wa kitoto,
They must go...!Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge.
Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.