Katika mchezo wa mpira wa miguu timu pinzani ambayo ina mbinu nyingi uwanjani wakiwaona wapinzani wao ni tishio huwa wanabadili staili ya mchezo ili mcheze wanavyotaka wao, mkishaingia kwenye mtego wao basi hapo ujue wameshamaliza mchezo !! Ila kwenye sheria sijui huwa inakuwaje !!Chadema wanaicheza ngoma vizuri.
Mambo yanaenda kasi sanaThey must go...!
Mkewe ni yupi paleJohn Mrema anamuwekea pingamizi mke wake, acheni usanii wa kitoto,
Kwani wewe huwezi kumuwekea pingamizi MUMEO alipokukuta UNADANGA?John Mrema anamuwekea pingamizi mke wake, acheni usanii wa kitoto,
Uongo utakusaidia nini wewe masikini ?John Mrema anamuwekea pingamizi mke wake, acheni usanii wa kitoto,
Sawa kabisa.Wakiachwa waendelee itajenga precedence kwa wengine, acha mahakama iamue kuweka rekodi sawa.
Unaweza kuwauliza wao au Paschal MayalaMahakama haiwezi kuamua kufukuzwa ubunge au wasifukuzwe.tulia ndo mwenye maamuzi hayo.
Ila kabla ya kufukuzwa ubunge tujiulize waliingiaje bungeni na kwa utaratibu upi?
Sawa lkn rekodi ni rekodi tu hata kama huwezi kuiheshimu wewe kuna siku atatokea wa kuiheshimu.Precedence za mahakama hazina maana chini ya utawala wa CCM.
Waliingiaje? Hilo ndilo Chadema inataka liwekwe wazi nani alimtoa Nusrat gerezani usiku kesho yake akaapishwa.Mahakama haiwezi kuamua kufukuzwa ubunge au wasifukuzwe.tulia ndo mwenye maamuzi hayo.
Ila kabla ya kufukuzwa ubunge tujiulize waliingiaje bungeni na kwa utaratibu upi?
Kama kasaliti itikadiš¤John Mrema anamuwekea pingamizi mke wake, acheni usanii wa kitoto,
Mahakama ndiyo itakayowafanya wasitumie jina la chama na kujitambulisha kama wanaCDM.Wangewaacha ila wao wautaarifu Umma kuwa wameshamalizana nao hivyo wasije wakafanya lolote kwa jina la chama wala kujitambulisha kwa kutumia jina la chama, na kwa kuwa siku hazigandi Bunge likija kuvunjwa na uchaguzi kutangazwa watajua pa kuelekea.
Hakuna mahakama Tanzania.Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge.
Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
Pamoja na kwamba Ni majaji wa mchongo, let it be documented kuwa maamuzi yalikuwa haya na Jaji Fulani na serikali fulaniWakiachwa waendelee itajenga precedence kwa wengine, acha mahakama iamue kuweka rekodi sawa.
Ni upande mmoja tu unaojionyesha ubabe, ambao ni Serikali. Kwasababu ndiyo inatoa fedha pande husika. Ukiona mbuzi yuko juu ya mti ujue kapandishwa!Wastage of time, huu muda ungetumika kukazia muelekeo wa katiba mpya badala ya kupambana na mambo ambayo hayana tija.
Kinachotafutwa hapo ni kilaupande umkomoe mwenzake ikiwezekana, yani kuonyeshana ubabe, ubabe ambao hauna maslahi yoyote kwa taifa.
Anayepaswa aone hili jambo halina maslani kwa taifa ni yule anayekusanya kodi kwa wananchi wanyonge alafu anazifuja kwa kuwalipa watu wasio na sifa.Tuwaache chadema wafanye upande wao the rest watafanya wanaoihujumu nchi.iko siku tunaweza tukapata viongozi wanaojielewa wakasaidia kuweka misingi bora ya namna yakuendesha nchi.Kwa sasa ngoja tupige mark time kwasababu hatujielewi.Wastage of time, huu muda ungetumika kukazia muelekeo wa katiba mpya badala ya kupambana na mambo ambayo hayana tija.
Kinachotafutwa hapo ni kilaupande umkomoe mwenzake ikiwezekana, yani kuonyeshana ubabe, ubabe ambao hauna maslahi yoyote kwa taifa.
Uongo utakusaidia nini wewe masikini ?
Kwani wewe huwezi kumuwekea pingamizi MUMEO alipokukuta UNADANGA?
Wacha bhwanah!Wastage of time, huu muda ungetumika kukazia muelekeo wa katiba mpya badala ya kupambana na mambo ambayo hayana tija.
Kinachotafutwa hapo ni kilaupande umkomoe mwenzake ikiwezekana, yani kuonyeshana ubabe, ubabe ambao hauna maslahi yoyote kwa taifa.