Ninaamini CHADEMA wanao uwezo wa kutafuna Big G, huku wakiweza kutembea pia!Naona CHEDEMA wameamua kukubali kupotezewa muda na CCM, wenzao wanafurahia ujinga, sasa kama Chadema wakiamua kukomalia ujinga, nao watakuja kuonekana wajinga, it's a matter of time.
Covid 19 eeeh 😂😂😂😂😂😂😂Ni upande mmoja tu unaojionyesha ubabe, ambao ni Serikali. Kwasababu ndiyo inatoa fedha pande husika. Ukiona mbuzi yuko juu ya mti ujue kapandishwa!
Kwa hiyo zikitokea forgeries nyingine toka NEC watu watulie tu na iwe poa.Wawaache CCM wawatumie hao wanawake wanavyotaka, naona wameshaamua kutumika.
Kwani utafanya nini? mahakama zao, bunge la hovyo lao, hao wahalifu marafiki zao, hizo record mnazosema mtaziweka mpaka siku CCM iondoke madarakani, kwa sanduku la kura?!Kwa hiyo zikitokea forgeries nyingine toka NEC watu watulie tu na iwe poa.
Una moyo wa walioshindwaKwani utafanya nini? mahakama zao, bunge la hovyo lao, hao wahalifu marafiki zao, hizo record mnazosema mtaziweka mpaka siku CCM iondoke madarakani, kwa sanduku la kura?!
Kama mwanzo Chadema walisusia huu ujinga mpaka wao CCM wakataka maridhiano, kwanini wasiwakumbushe walipotoka ili CCM ipate muda wa kutafakari ujinga wao? na kwanini isiwe sasa?
Kuendelea kukaa nao mezani ni kuwadumaza kiakili, wanajiona wako sahihi, wakati the truth is, wanazidi kuharibu, na wale wanaokaa nao wanazidi kulikuza tatizo, pia wanastahili lawama.
Chadema walipogoma kutambua matokeo ya uchaguzi mpaka pale CCM walipotaka maridhiano haukuwa udhaifu, walishinda; na wakigomea mazungumzo ya kisanii tena hautakuwa udhaifu, watashinda pia.Una moyo wa walioshindwa
Naona CHEDEMA wameamua kukubali kupotezewa muda na CCM, wenzao wanafurahia ujinga, sasa kama Chadema wakiamua kukomalia ujinga, nao watakuja kuonekana wajinga, it's a matter of time.
Iwapo itaamua kufuata misingi ya sheria na haki !! You can say that again !!! Sheria ni msumeno unakata mbele na nyuma ! Tusisahau msemo huu wa kiswahili !!!Nadhani ni vyema na haki ikiwa watawekewa pingamizi kwakuwa hawakuwahi kuteuliwa kukiwakilisha chama.
CHADEMA wakiwaacha hawa covid 19 waendelee maana yake watakuwa wameshiriki kutenda uovu.
CDM wanaweza kuja na sababu luluki kwanini wasiendelee kukiwakilisha Bungeni.
Mosi,Chama hakijawahi kuwateua kuwakisha Bungeni,hii yaweza kuwa sababu muhimu sana.Wakiambiwa leo hii watoe nyaraka za kuteuliwa ni wazi hawata kuwa nazo.
Pil,Mdee alikuwa Mwenyekiti wa BAWACHA kwa nafasi hii alikuwa ni mjumbe wa Kamati kuu,Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa CHAMA.Hakuna kikao chochote kilichokaa kujadili majina na hatimae kuyapitisha na kuandikiwa majina na Katibu Mkuu kwaajili ya uteuzi.
Mwisho nahisi Mdee na genge lake wanaweza kujikuta katika hali ngumu iwapo Mahakama itaamua kufuata misingi ya sheria na haki.
Hata mhe mmoja aliyejiuzulu bila kupenda analijua hilo !!Haya ni maigizo na batili ,inavyoonekana Kuna taasisi zimetekwa na taasisi zingine,ukiwauliza rationale ya kufanya hivi hawana majibu,watakwambia ni maagizo kutoka juu.
Samehe saba Mara sabini ! Kisha mapambano yaendelee !!Chadema walipogoma kutambua matokeo ya uchaguzi mpaka pale CCM walipotaka maridhiano haukuwa udhaifu, walishinda; na wakigomea mazungumzo ya kisanii tena hautakuwa udhaifu, watashinda pia.
Lakini kuendelea kukomalia njia moja hata kama haina dalili za mafanikio ni kujidumaza akili, na uoga tu.
Una moyo wa walioshindwaKwani utafanya nini? mahakama zao, bunge la hovyo lao, hao wahalifu marafiki zao, hizo record mnazosema mtaziweka mpaka siku CCM iondoke madarakani, kwa sanduku la kura?!
Kama mwanzo Chadema walisusia huu ujinga mpaka wao CCM wakataka maridhiano, kwanini wasiwakumbushe walipotoka ili CCM ipate muda wa kutafakari ujinga wao? na kwanini isiwe sasa?
Kuendelea kukaa nao mezani ni kuwadumaza kiakili, wanajiona wako sahihi, wakati the truth is, wanazidi kuharibu, na wale wanaokaa nao wanazidi kulikuza tatizo, pia wanastahili lawama.
Suala la forgeries ni la mwelekeo wa kijinai na si la kisiasa.Chadema walipogoma kutambua matokeo ya uchaguzi mpaka pale CCM walipotaka maridhiano haukuwa udhaifu, walishinda; na wakigomea mazungumzo ya kisanii tena hautakuwa udhaifu, watashinda pia.
Lakini kuendelea kukomalia njia moja hata kama haina dalili za mafanikio ni kujidumaza akili, na uoga tu.
Good. Hii ndiyo sababu muhimu ninayoona kwa CHADEMA kuhangaikia hili suala. Jina la chama kutumika bila ridhaa ya chama.Ambacho Chadema hawataki ni wale wabunge 19 kutumia Jina lao wakati siyo wanachama wa chadema. Yani waendelee na Ubunge wao kwa chama kingine na sio chadema.
sasa ngoja tuone kwenye hii saga kati ya chadema na wewe nani ni ZWAZWA POYOYONaona CHEDEMA wameamua kukubali kupotezewa muda na CCM, wenzao wanafurahia ujinga, sasa kama Chadema wakiamua kukomalia ujinga, nao watakuja kuonekana wajinga, it's a matter of time.