Uchaguzi 2020 CHADEMA yaziasa NEC na Serikali kuwa muda wa kuvumilia uonevu sasa basi

Uchaguzi 2020 CHADEMA yaziasa NEC na Serikali kuwa muda wa kuvumilia uonevu sasa basi

Chadema ni chama kinachoshababisha uvunjivu wa amani maeneo mengi nchini
wapenda haki na aman wa nchi hii wakishindwa kuyatumia vyema SASA mazingira ya uonevu na dhulma yanayojengwa na ccm basi wajue wameumia. huko mbeleni itakuwa vigume kupata mazingira dhulumati rafiki kama haya. muda ndiyo huu.
 
Kwa ninachoona hapa, tayari kuna chuki kubwa imekwishapandikizwa. Siku mtu mmoja akiamua kuchomoa betri, sijui hali itakuwaje.

Maoni yangu.
Watanzania tuache siasa za kihuni na chuki.Kama tumeamua kuwe na uchaguzi wa kidemokrasia,tutekeleze kweli hiyo demokrasia.Kama hatupendi aina hii ya demokrasia,tuchague mfumo mwingine ambao hautaleta makundi yenye uadui.
 
CHADEMA shida mnafikiri Africa ni Marekani Yaani manendesha Kampeni za Video yanii the only platform mliyonayo ni kuongea ongea tu kwenye vimtandao vya kijamiii us The Election in Africa is More scientific than any where kaaniii nakutoa misimamoo na kutishia nyao while wenzenu wanapeta yanii Hayanikiyaona NAJIULIZA KWA NINI CHADEMA HAWAKEMEI USHOGA NAJULIZA JE WANWEZA KUWA SEHEMU YA
Uhuni nao ni science ?
 
Dah Bro usiombe Haya Mambo utasahau hata Kama Uliombea hii Swala Angalia watu waliofikiriaa Violence ndio Solution Millions of people died for what!! Mnataka watu Wafe ili Tundu Angie Madarakani je mtakuwa mmeleta Tofauti
Ccm ndo wanataka hivyo imefika muda tulie wote sio kila siku tulie chadema, wagombea wa chadema tangu mwaka 2005 hueñguliwa kwa hila unataka wavumilie mpaka lini?
 
Chadema wanarohombaya ya chuki na husda.Ukiwa Chadema kuona ufalme wa Mungu ni mwiko.
awaishi uzushi na kuongeza mambo ili kuwajaza watu chuki wawe na ujasiri wa kuvunja amani yetu.
Mungu walaani Chadema na uwaangamize"aamin"
Usitaje Jina la Mungu kwa upuuzi
 
Chadema ni chama kinachosababisha uvunjivu wa amani maeneo mengi nchini
We mtu siku ile airport polisi hawakusumbua na kila kitu kikaenda sawa. Pokeeni form kama ziko sawa basi tusubiri uchaguzi.
Imagine unaondoa wagombea 18 wa ACT Zanzibar na majimbo naskia ni 18, unaondoa wabunge 60 na madiwani karibu wote halafu unataka watu watulie tu.

Play fair and obey the rules.
 
Chadema ni chama kinachosababisha uvunjivu wa amani maeneo mengi nchini
Hivi Ni CHADEMA au CCM wanaosababisha uvunjufu was amani? Hivi kama CCM mimefanya Mambo mengi na makubwa ndani ya inchi hii, minasababu gani ya kuwazuiya wapinzani kugombea? Kwanini mnasaidiwa na tume kubaki madarakani? Mnaigopa nini Kama ninyi Ni wasafi? Haya yanamwisho.
 
Subirini Muone. Mwaka huu hatutanii, si mmeona tunduma na ukara??? Sasa Mwendo ni ule ule Tanzania nzima. Tupigeni risasi wote kama vipi
Mnacho ngangania ni nini mzee?
Yaan mna ngangania kutuongoza?

Hadi mpigane?

Nyie wanasiasa wote ni walafi mnataka madaraka mle mjaze matumbo yenu.

Hatupigi kura sasa.
 
Mnacho ngangania ni nn mzee??
Yaan mna ngangania kutuongoza??
Hadi mpigane??
Nyie wanasiasa wote ni walafi mnataka madaraka mle mjaze matumbo yenu
Hatupigi kura sasa
Pumbavu kabsaa
Tunachotaka ni fairness, kama kushindwa tushindwe kwa haki na kama kushinda tushinde kwa haki. Sio tunaonewa alafu tukae kimya??? Hapana kwa kweli. Imetosha
 
Hivi Ni CHADEMA au CCM wanaosababisha uvunjufu was amani? Hivi kama CCM mimefanya Mambo mengi na makubwa ndani ya inchi hii, minasababu gani ya kuwazuiya wapinzani kugombea? Kwanini mnasaidiwa na tume kubaki madarakani? Mnaigopa nini Kama ninyi Ni wasafi? Haya yanamwisho.

Mliyoyafanya ni mengi sana kutikisa amani ya nchi yetu. Viongozi wenu walikejeli na kiyatumia mauaji ya Rufiji kisiasa na kila mtu anajua
 
Wasiwasi wangu ni kuwa hata wakiwarudisha kazi itakuja kwenye kutangaza mshindi. Wanalipia magari na mafuta wanayopewa
 
We mtu siku ile airport polisi hawakusumbua na kila kitu kikaenda sawa.Pokeeni form kama ziko sawa basi tusubiri uchaguzi.
Imagine unaondoa wagombea 18 wa ACT Zanzibar na majimbo naskia ni 18, unaondoa wabunge 60 na madiwani karibu wote halafu unataka watu watulie tu.
Acha ung'ombe wako bana, play fair and obey the rules.
Mtihani wowote usipofuata masharti ujue ndo ushaufeli
 
Chadema wanarohombaya ya chuki na husda.Ukiwa Chadema kuona ufalme wa Mungu ni mwiko.
awaishi uzushi na kuongeza mambo ili kuwajaza watu chuki wawe na ujasiri wa kuvunja amani yetu.
Mungu walaani Chadema na uwaangamize"aamin"
Ikiwa uliyoongea ni uongo, kwamba CHADEMA hawapo hivyo, bali chama chako kipo hivyo, basi laana hiyo ikurudie Wewe na chama chako, kuanzia sasa!
 
Back
Top Bottom