Uchaguzi 2020 Chagua Dkt. Magufuli kazi ziendelee

Hawa ndugu zetu wana uwezo mdogo sana wa kufikiria sababu ya uzembe wa kuwaacha wabelgiji wajaze wanachokitaka kwenye vichwa vyao

Ila tutavuka nao tuu, maendeleo hayana vyama👍
Wazee wa kucopy na kupaste
 
X

Baada ya uchaguzi ,tujiandae kwa economic sanction na The Hague.
Mwisho tutaishia Kama Zimbabwe.
Tatizo ni ubabe,ukabila,uchama,na ubinafsi.
 
Magufuli ni fisadi.
Fedha alizokwiba zingetosha kuwaajili wahitimu wa vyuo wengi tu.
Fedha alizokwiba zingetosha kuongeza mishahara watumishi wa umma kwa wingi tu.
Fedha alizokwiba zingetosha kuinua wakulima kwa wingi tu.
Fedha alizokwiba zingetosha kuwapandisha madaraja watumishi wa umma kwa wingi tu.
Fedha alizokwiba zingetosha kuwapatia Maji safi na salama wanainchi kwa wingi tu.
Fedha alizokwiba zingetosha kuinua hali za maisha ya wanainchi kwa wingi tu.

Hivyo, Magufuli hatufai; baada ya trh 28 October,2020 atarudi kwao chato akachunge mifugo yake ktk mbuga ya Burigi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…