Chagua jinsia ya mtoto umtakaye

Chagua jinsia ya mtoto umtakaye

Duh....kwa hivyo wanawake wenye umri unaofanana (say wadada mapacha wenye 25 years) wakipata mimba leo hii (19 December 2016) wote watapata watoto wa kiume? Ngumu sana kumesa hii.
Kwa mujibu wa hii kalenda itakua hivyo,binafsi sijawahi fanyia utafiti kwa mapacha ila kwa wanawake wa kawaida ilileta matokeo chanya.But hulazimishwi kumesa fanya kautafiti kadogo kwa ndugu na marafiki wajawazito wakutajie umri wao na mwez mimba ilipoingia then subiri wakati wa kujifungua then utakuja na majibu kama ni kwel au uongo
 
ni kweli mkuu lakini hii calendar ina asilimia nyingi za kumpata mtoto umtakaye

Wangefwata kalenda hizo nadhani china watoto wakike wasingezaliwa kwani china watoto wa kiume wanahitajika Sana ukizaa wa kiume unaruhusiwa kuongeza Ila wa kike huruhusiwi mungu ndio anajua
 
Najaribu kuiangalia ila nashindwa kuielewa kbs
 
letakupata calendar
watoto wasio NA zika
 
SASA na wale wanaosema siku ya 13au 14 tokea uanze bleed nao ni waongo au?
siwezlizngumzia hilo mkuu,tukienda kibayolojia zaid nitashidwa kukujib mana hiyosio field yangu.Mi nimeamua tu kushare na wenzangu taarifa hii ambayo mimi baada ya kuifanyia utafiti ilinipa majibu chanya
 
Ingiza mbegu zako siku mbili kabla yai halijapevuka usubirie mtoto wa kiume kama mbegu za kiume hazijafa
 
Nimejaribu kufuatilia kwa watoto wangu,naona kuna kaukweli hapo,umri wa mama na miezi kwenye kalenda kweli inaonesha B, B. Ngoja niifuatilie naweza kupata G maana nilikuwa nawaza sana naweza kutafuta wa mwisho awe tena B jinsia moja hii kama hainogi.
 
mbona kunawatu kama wawili hivi imekataaa ,mmoja alipata mimba mwezi wa saba akiwa na umri wamiaka 26 lakini ana mtoto wa kiume na mwingine amepatamimba november akiwa na mri wa miaka 27 nae ana mtoto wa kiume??












//
 
Mi nimejaribu asee hata kwa watu wazima kama wanne hiv inanileta majibu poa inawezekana ikawa kweli
 
Back
Top Bottom