kabwigwa
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 933
- 1,540
- Thread starter
- #61
Ok mkuu ishu sio miezi waliozaliwa tunaangalia conceiving month(mweziambao mimba iliingia).Kwa mwanamke wa 1984 manake ana miaka 32 miezi ya boys ni January,March na December iliyobaki yote ni watoto wa kikeHaa Mambo Hayo Wakuu
Hebu Huyo Mtaalamu Atueleze
Mwanamke Wa Kuzaliwa 1984
Hebu Fafanua
Wa Kike Miezi Gani Na Wa Kiume Miezi Gani
Maana Wote Ninao Halafu Nilinganishe Miezi Waliozaliwa Kama Kweli