Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks jaribu ipo siku utarudi kutoa ushuhuda hapaNimejaribu kufuatilia kwa watoto wangu,naona kuna kaukweli hapo,umri wa mama na miezi kwenye kalenda kweli inaonesha B, B. Ngoja niifuatilie naweza kupata G maana nilikuwa nawaza sana naweza kutafuta wa mwisho awe tena B jinsia moja hii kama hainogi.
ina page mbili ndugu cheki kwenye hii link Chinese Lunar Calendar - Gender PredictionSasa unasema inaishia miaka45, wakati inaishia 35! Hapo imekaaje?
Mbona hamna kuanzia 36yrs old??Habari wanajamvi,
Kumekua na malalamiko katika familia nyingi sana kuhusiana na jinsi₍ jinsia₎ ya watoto.Waweza kukuta mzazi anazaa watoto wa kike tu au kinyume chake hii inapunguza furaha na kuleta mifarakano katika jamii.
Kwakutumia Calenda ya kichina iitwayo Chinese Lunar Calendar waweza kupata jinsia ya mtoto umtakaye. Kalenda hii inaanza kusoma kuanzia miaka kumi na nane ₍ 18₎mpaka miaka arobaini na tano₍45₎
Unachotakiwa kufanya ni kuangalia umri wa mama ambao upo upande wa juu wa chat na miez ambayo ipo upande wa kushoto kwa chat, na mwezi ambao utaonyesha ni mtoto wa aina gani anapatikana katika mwezi husika, mfano mama /mwanamke ana miaka ishirini na tisa₍29₎ na anataka mtoto wa kiume, akiangalia kwenye kalenda ataona kuwa kwa umri wake miezi ya kupata mtoto wa kiume ni mwez 2,5,6,7,8 na wa 9.cha kuzingatia ni mama/mwanamke kutokudanganya tu umri wake. Kinachoangaliwa ni siku katika mwezi mimba ilipoingia/itakapo ingia na umri wa mama.
NB: Kalenda hii imekua ikitumika huko china kwa miaka na mikaka, binafsi nimeshaifanyia majaribio na imethitisha jinsia ya mtoto kwa asilimia 99 kwa ambao hawakudanganya umri.
Nimeambatanisha hiyo kalenda.
nenda kwenye hii linkhttp://www.immihelp.com/nri/chinese-lunar-calendar-gender-prediction.htmlMbona hamna kuanzia 36yrs old??
Nimefuata hiyo link lakini sioni chati ya kuanzia miaka 36 inayofanana na hiyo uliyoweka ww hapo juu, kama unaweza kutuwekea hapo fanya hivo mkuu[emoji120][emoji120]ina page mbili ndugu cheki kwenye hii link Chinese Lunar Calendar - Gender Prediction
CHEKI HII LINK MKUU Chinese Lunar CalendarNimefuata hiyo link lakini sioni chati ya kuanzia miaka 36 inayofanana na hiyo uliyoweka ww hapo juu, kama unaweza kutuwekea hapo fanya hivo mkuu[emoji120][emoji120]
Hapo nimeipata yote mkuu ubarikiwe.CHEKI HII LINK MKUU Chinese Lunar Calendar