Chagua jinsia ya mtoto umtakaye

Sasa unasema inaishia miaka45, wakati inaishia 35! Hapo imekaaje?
 
Nimejaribu kufuatilia kwa watoto wangu,naona kuna kaukweli hapo,umri wa mama na miezi kwenye kalenda kweli inaonesha B, B. Ngoja niifuatilie naweza kupata G maana nilikuwa nawaza sana naweza kutafuta wa mwisho awe tena B jinsia moja hii kama hainogi.
Thanks jaribu ipo siku utarudi kutoa ushuhuda hapa
 
hebu fafanua kidogo isije ikawa tuashindwa kutafsiri miaka
ishu ni hivi mkuu wakati mimba inaingia huyo mwanamke alikua na miaka mingap? Ukitoa taarifa za uongo huwezi ukapata jibu sahihi
 
Mbona hamna kuanzia 36yrs old??
 
Mkuu ngoja nikajaribu kama nitapata baby gal ila naona muda umepita itakuaje
 
Yaani sisi watanzania sijui tupoje tu, wenzetu wamefanya tafiti wamekupa ujaribu wewe unakuja unapinga tu bila fact yoyote et Mungu ndio anaamua jinsia[emoji31] [emoji31]
Nani alikuambia Mungu anaamua jinsia?
 
Haa Mambo Hayo Wakuu
Hebu Huyo Mtaalamu Atueleze
Mwanamke Wa Kuzaliwa 1984
Hebu Fafanua

Wa Kike Miezi Gani Na Wa Kiume Miezi Gani
Maana Wote Ninao Halafu Nilinganishe Miezi Waliozaliwa Kama Kweli
 
Hahahahahaaaa wife ana miaka 31 na nikiangalia hapo ni mtoto wa kike miezi yote isipokuwa 1,3 na 12. Dah mwaka huu si wa kuzaa maana nahitaji baby boy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…