Ok mkuu ishu sio miezi waliozaliwa tunaangalia conceiving month(mweziambao mimba iliingia).Kwa mwanamke wa 1984 manake ana miaka 32 miezi ya boys ni January,March na December iliyobaki yote ni watoto wa kikeHaa Mambo Hayo Wakuu
Hebu Huyo Mtaalamu Atueleze
Mwanamke Wa Kuzaliwa 1984
Hebu Fafanua
Wa Kike Miezi Gani Na Wa Kiume Miezi Gani
Maana Wote Ninao Halafu Nilinganishe Miezi Waliozaliwa Kama Kweli
na hyo miezi ndo ya kumgegeda na kudaka mimba au ndo miez atakayojifungua?nenda kwenye hii linkhttp://www.immihelp.com/nri/chinese-lunar-calendar-gender-prediction.html
Haa Kiongozi Sasa Hiyo Miezi Uliyotaja Ni Kwa Mwaka 2016Ok mkuu ishu sio miezi waliozaliwa tunaangalia conceiving month(mweziambao mimba iliingia).Kwa mwanamke wa 1984 manake ana miaka 32 miezi ya boys ni January,March na December iliyobaki yote ni watoto wa kike
tafuta demu ambaye ni ccm damdam atakupa hiyo totoMimi nataka mtoto ila asifanane kwa namna yoyote na UKAWA yeyote nifanyeje.
Haaa UmemalizA Kila Kitu Mkuutafuta demu ambaye ni ccm damdam atakupa hiyo toto
Unaelewa maana ya kiki?Mimi nimeamua kushare knowledge niliyokua nayo from no where unakuja na hoja zisizo na mpango.Sihitaj kiki mana hakuna anayenijua humu na sijahitaja hata senti tano mbovu,,kama uliona thread yangu haina mana ungepita tu kimya kimya sio kuja na bla bla zakoKiki tu hakuna ukweli
Mkuu Imekuja Kweli Hujaeleweka Ina Maana Umeshapata??Mmmh kwangu imekuja kweli