Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Nashangaa hata mimi! Tena, inaonekana alishawaumiza wengi sana, huyo Ulimboka kwa vile alikuwa maarufu ndiyo maana ilijulikana kiurahisi! Heri hata uchague shetani kuliko huyo mtu!Upengo gani HUYU SI ALIMTEKA ULIMBOKA...akamgoa kucha etc etc by Kigogo
Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini? Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Kuna wakati shetani anakuwaga na ka huruma, siyo Ighondu!Nashangaa hata mimi! Tena, inaonekana alishawaumiza wengi sana, huyo Ulimboka kwa vile alikuwa maarufu ndiyo maana ilijulikana kiurahisi! Heri hata uchague shetani kuliko huyo mtu!
Jamaa ana kasura kaungwana 🤓
Jamaa ana kasura kaungwana 🤓
Kweli mtu akifilisika kisiasa huwa ni shida, alishindwa kuleta maendeleo akiwa CCM, akiwa CHADEMA ndio kabisa, mnatengeneza bomu hamtaweza kulitegua,siku wananchi wakidai hawatalipa kodi kwa sababu hawajamchagua mtu wa CCM mtawafanyaje.Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Asiye julikana atawateka ninyi na vitunguu vyenu vya meryaa hadi mseme gwajifyaMpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Sura na matendo ni kama giza na nuru
Umenifurahisha na vitunguu vya merya, msange, KinyagigiAsiye julikana atawateka ninyi na vitunguu vyenu vya meryaa hadi mseme gwajifya
Ramadhani Mtekaji Ighondu , hii picha imetafutwa sana na INTERPOL , tunakushukuru sana kwa kuileta