Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatamani kujificha Kwa kuogopa mawe na huu Uzi haifutwi kamweMods futa upuuzi huu
Kwanza ili tuongelee suala la kumchagua, tunataka arudishe jicho la Absalom Kibanda, kucha na meno ya Dr. Ulimboka. Baada ya hapo tutajadili.Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Ni afadhali tumchague Nyalandu tukose maendeleo kuliko kumchagua muuaji. Pia Ighondu na jiwe hawatapata kura, kwahiyo, wapotelee kuzimu na jiwe hatuwataki.huyu ni mnyama. Mshenzi. hafai. aliongoza kutekwa na kuteswa kwa Dr. Ulimboka. Wananchi msimchague huyo nduli hafai.
Unatamani kujificha Kwa kuogopa mawe na huu Uzi haifutwi kamwe