Uchaguzi 2020 Chagua Ramadhan Ighondo kwa maendeleo ya Singida kaskazini

Uchaguzi 2020 Chagua Ramadhan Ighondo kwa maendeleo ya Singida kaskazini

Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Huyo Ramadhani atueleze kwanza kwanini alitaka kumuua Ulimboka Dr.
 
Nilishawaambia uko wangu mzima kwanzia Ikhanoda hadi Mpambaa kuwa huyu ni zaidi ya shetani hafai hadi kwa dawa uzuri ukoo wangu ni mkubwa na unaniheshimu hivyo akaendelee na kibarua chake cha kuwatanguliza wenzake mbinguni huku yeye akisubiri Jehanum kwa nguvu zote
Lengo kuu la mleta uzi huu ni kumwanika zaidi huyu Ighondu
 
Kubenea alifanya kazi nzuri sana kumuanika huyu jamaa!Alitaja hadi alikojiandikisha kama mpiga kura.Bado naikumbuka ile makala kama Jana.Kwa kulitendea wema taifa kipindi kile,kubenea anastahili tuzo.Watu kama kina Ighondo wasingeingia kwenye siasa.
Hakika !
 
Hivi Dr Ulimboka Steven aliishia wapi?
Kuna wakati alihamia Uganda alikua anasoma Makerere. Hata hivyo amaeamua kuishi a low profile life, hata anaejua alipo si vizuri kuweka wazi tuheshimu maamuzi yake.
 
Nyalandu hakufanya chochote na sasa iv kaja na gear ya upinzani ndo kabisa maendelea tutaishia kuyaona kweny TV
 
Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Huyu mtu ni muuaji tunajua Habari zake zote we don't want him! Alitaka kutuulia Dr Ulimboka wetu!
 
Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Alikua ccm kashindwa kuleta maendeleo.
Sasa huyu Ramadhan nae si wa ccm au??!

By the way JF ni kaji kata ndani ya jimbo la singida kaskazini mpk uombe kura hapa?
 
Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?

huyu ni mnyama. Mshenzi. hafai. aliongoza kutekwa na kuteswa kwa Dr. Ulimboka. Wananchi msimchague huyo nduli hafai.
 
Back
Top Bottom