Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,484
Nilishawaambia uko wangu mzima kwanzia Ikhanoda hadi Mpambaa kuwa huyu ni zaidi ya shetani hafai hadi kwa dawa uzuri ukoo wangu ni mkubwa na unaniheshimu hivyo akaendelee na kibarua chake cha kuwatanguliza wenzake mbinguni huku yeye akisubiri Jehanum kwa nguvu zote
Watekaji wengi wako hivyosura yake na matendo havifananii
Huyo Ramadhani atueleze kwanza kwanini alitaka kumuua Ulimboka Dr.Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Huyyu muuaji a.k.a MTU asiejulikanaMpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Lengo kuu la mleta uzi huu ni kumwanika zaidi huyu IghonduNilishawaambia uko wangu mzima kwanzia Ikhanoda hadi Mpambaa kuwa huyu ni zaidi ya shetani hafai hadi kwa dawa uzuri ukoo wangu ni mkubwa na unaniheshimu hivyo akaendelee na kibarua chake cha kuwatanguliza wenzake mbinguni huku yeye akisubiri Jehanum kwa nguvu zote
Kabisaa mkuu maana niliposikia tu jina lake bahati nzuri nilikuwa likizo nilitesema nyongo moja hatari black mamba akasomeLengo kuu la mleta uzi huu ni kumwanika zaidi huyu Ighondu
Hakika !Kubenea alifanya kazi nzuri sana kumuanika huyu jamaa!Alitaja hadi alikojiandikisha kama mpiga kura.Bado naikumbuka ile makala kama Jana.Kwa kulitendea wema taifa kipindi kile,kubenea anastahili tuzo.Watu kama kina Ighondo wasingeingia kwenye siasa.
Kuna wakati alihamia Uganda alikua anasoma Makerere. Hata hivyo amaeamua kuishi a low profile life, hata anaejua alipo si vizuri kuweka wazi tuheshimu maamuzi yake.Hivi Dr Ulimboka Steven aliishia wapi?
Huyu mtu ni muuaji tunajua Habari zake zote we don't want him! Alitaka kutuulia Dr Ulimboka wetu!Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Mteka nyara watuMpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Alikua ccm kashindwa kuleta maendeleo.Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Duh....!Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Chagua kung'olewa meno.Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Muulize Ramadhanj ighondu[emoji1787][emoji1787]Hivi Dr Ulimboka Steven aliishia wapi?