Mm nafurahishwa sana na haka kamsemo kuwa tarehe 28 tuna jambo letu sababu kuu ya kukafurahia hujui unaelekezewa wapi unashangaa tu ng,ombe hana shingo yaani atakavyolala ndivyo atakavyochinjwa
Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Kwanza ili tuongelee suala la kumchagua, tunataka arudishe jicho la Absalom Kibanda, kucha na meno ya Dr. Ulimboka. Baada ya hapo tutajadili.
Pili, kwanini Nyalandu hakuleta maendeleo wakati mnatamba kuwa ukichagua ccm umechagua maendeleo?
Ni afadhali tumchague Nyalandu tukose maendeleo kuliko kumchagua muuaji. Pia Ighondu na jiwe hawatapata kura, kwahiyo, wapotelee kuzimu na jiwe hatuwataki.