Chagua viungo watatu wa kuanza katika timu yako katika list hii

Chagua viungo watatu wa kuanza katika timu yako katika list hii

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Wewe ndio kocha unataka uanze na viungo watatu, wachague hapa katika orodha hii.
IMG_8180.jpeg
 
Mimi nitachagua kwa kubalansi, yaani nitaweka wenye maarifa makubwa wawili na kiungo mmoja wa kazi ili kuleta balansi kikosini.

Pirlo, Gerrard & Iniesta
 
Mimi nitachagua kwa kubalansi, yaani nitaweka wenye maarifa makubwa wawili na kiungo mmoja wa kazi ili kuleta balansi kikosini.

Pirlo, Gerrard & Iniesta
Playing style yako ni Ipi ?
Playing out from the back au tuanze moja tukutane juu ?
 
Pira kokoto, mpira ukishafika kati basi kuanzia hapo Ili tukafunge nahitaji pasi chache tu hivyo katikati ya uwanja nataka battle, mashuti, long passes, short passes ziwepo, hasa side way passes ziwepo ila sitaki nyingi,tackling na uhuni Fulani hivi.

Nahitaji regista, CM's( physically fit)

Pirlo.
Paul.
Steve.
 
Back
Top Bottom